Labda wamejistukia ujinga Mzigo hata walioenda zika hawajatulia saikologiaMimi naona TBC wanaonesha marudio ya kipindi Cha watoto, labda Hawa Dstv wamenipiga change la macho, TBC yao ni feki, original iko Star 🌟 Times
Tweet ya Gerson ilisema kuanzia Saa 4:15, saa yenyewe ndio hii, bado live ya Ikulu ya Chato haijaanza ila itaanza very soon!.
P
Yani type za Magu mpo wengi. Kwahiyo ukawahimiza wasali wewe ukakimbia. Haya bwanaTangu Corona ilipoanza, mimi nili ji quarantine, ila Jumamosi ya jana ilikuwa ni zamu ya kusali Jumuiya home kwangu, niliwawekea viti hapo nje mimi huyo...!.
P
Tweet ya Gerson ilisema kuanzia Saa 4:15, saa yenyewe ndio hii, bado live ya Ikulu ya Chato haijaanza ila itaanza very soon!.
P
Tweet ya Gerson ilisema kuanzia Saa 4:15, saa yenyewe ndio hii, bado live ya Ikulu ya Chato haijaanza ila itaanza very soon!.
P
Kama amevipeleka huko mbona ataibuka shujaa wa taifaSasa kuapishana sasa hivi si ni hatari ? Huyu mbunge ametembea sehemu ngapi na amekutana na wangapi na tunajuaje kama jana tu au sekunde nne kutokea sasa hajakutana na mwenye huu ugonjwa ?
Nadhani hatuchukulii hili janga userious unaotakiwa...
Nilijua siwezi kujibiwa na Kuku tena kuku mweupe!
Kila mkoa ipo mkuuHivi kumbe Chato kuna Ikulu? Nimeuliza Kuna Ikulu??
Wenyewe wanaiita IKULU NDOGOHivi kumbe Chato kuna Ikulu? Nimeuliza Kuna Ikulu??