Tena kabla hata hajazikwaKweli kifo kinaogopwa jamani, yaan mzee kaukimbia mji mazima! Daah, we Corona toka baba yetu arudi mjini! R.I.P Mahiga huwezi amini Maderu ndio karithi cheo chako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pascal inabidi asaidiwe maana ya Ikulu! Akumbuke enzi za Mwalimu alipokuwa nyumbani kwake Butiama ama Msasani hakukuwahi kutaumkwa Ikulu ya Butiama wala Ikulu ya Msasani, turudi kwenye weredi wetu pia rejea definition ya State HouseOf what benefit? Is this news worth paying attention to? What is strange with kuapisha? Of what exceptional leadership value Mwigulu is to arouse people's attention? Ndio maana tunasema hakuna mwandishi wa habari and I do not have a good term to describe you so-called waandishi wa habari. Mwandishi wa habari unasema Ikulu ya Chato? Does Ikulu ya Chato exist? This is a clear indication we run short of waandishi wa habari! Nisamehe Pascal kama hutapenda..
Unawalipa mshahara watu ambao hata hawajui kesho nini kitatokea...watu wametelekezwa.Tusihusishe Corona na uchumi wa nchi!.
Rais Magufuli awathibitishia watumishi wote wa umma, wataendelea kulipwa mishahara yao kamili hadi tatizo liishe.
P
Kazikwa jana mkuu mbona sultan wa omana tena ambaye alikuwa ameingoza nchi for 30 Qaboos alipokufa tu mwaka huu usiku huo huo akapatika mrithi wake na kuapishwa marehemu akiwa mochwari ukishakufa huna chako maisha lazima yaendeleeTena kabla hata hajazikwa
Nikweli naungana nae begakwabega.Rais Magufuli anatoa wito kwa Watanzania tusiwe na hofu, Corona ni mafua tuu, mbuzi, papai, fenesi na kware wakutwa na Corona!.
P
Soma hiyoTweet ya Gerson ilisema kuanzia Saa 4:15, saa yenyewe ndio hii, bado live ya Ikulu ya Chato haijaanza ila itaanza very soon!.
P
Huu Ni ukweli mtupuMimi ni mwanasayani ninajua ninachokizungumza.
Tusitishane!.
Wanasiasa msiitumie Corona kujitafutia mtaji wa kisiasa.
P