Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

mchemba anatakiwa amuunge mkono El after ten years aje agombeee
 
Mtia nia wa Ccm ambaye cku ya kutia nia nitamwona Mzee Mangula na Kinana huyo ndio chaguo la ccm.
 
Haya sasa shughuli imeanza, Mwigulu anahutubia sasa
 
Wazanzibar nyinyi mbona hamtangazi nia au Jamhuri hamuitaki kuiongoza
 
Kaanza vizuri! Katulia kwa kweli ila hawezi kupenya asilani abadani
 
Sina kibaya ninachokijua kuhusu huyu kaka ila tu hio bendera anayopenda kuivaa kila sikuuuuuuuu imenichosha na inanipa maswali mengi juu yake kuliko majibu.
 
Chadema mngepata mtu mmoja tu mwenye akili kama Mwigulu,mngekuwa Ikulu sasa hivi
 
Mwigulu historia ya nyuma itamuhukumu.akitaka ahame chama.
 
Mkipewa ikulu wala rushwa watauza ikulu.Wassira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…