Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,563
Mbowe ajifunze demokrasia kutoka ccm,aache kuwa dikteta
Hizi pesa za kukodi watu na kurusha matangazo live mmezitoa wapi?huu usanii kama ule wa arusha jana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe ajifunze demokrasia kutoka ccm,aache kuwa dikteta
ni ujinga kuweka vitoto kwenye high table hakuna usirious kabisa
Ingekuwa ni Chadema ungethubutu kuongea maneno haya? Mnavokemea suala la wanafunzi kutumika kisiasa mnabidi mkemee kotekote na siyo kuwa na double standards. Kwingine mnasifia, kwingine mnakemea.
Slaa amepora mke wa Mahimbo
ni ujinga kuweka vitoto kwenye high table hakuna usirious kabisa
His ex-collegemate
mwigulu ni mara 200 zaidi ya lowasa.
Ngoja vikibanwa mikojo sijui itakuwaje
Ngoja vikibanwa mikojo sijui itakuwaje
Naona hii sasa imekuwa ndio fashion na utamaduni kwa wana-CCM wanaosaka uraisi.
Muda huu ninapoandika kuna magari aina ya coaster yamekodishwa ili kubeba wanafunzi wa chuo kikuu na kuwapeleka Chuo cha Mipango Dodoma kwenye tukio la Mwigulu kutangaza nia.
Nasikitika kuona hata wanafunzi wa vyuo vikuu nao hawajitambua!
Binafsi nimebaki naangali tu tukio hili nikiwa kwenye gate kubwa la kuingilia na kutoka hapa chuoni.
Hawa ndo wachungaji wachumia matumbo hawafai kabisaNi askofu wa kanisa la mito ya baraka pale jangwani, shangaa waumini wanatoa sadaka kwa hela za madafu yeye kutwa anadeposit dola kwenye akaunti yake pale crdb
Lowasa ni simba wa yuda
Kweli tunda halianguki mbali na mti wake. Rollmodel wako si yule mzee mpora wake za watu . Naona na wewe upo kwenye process.
afadhali mwigulu na wasira kuliko lowasa.