Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Ingekuwa ni Chadema ungethubutu kuongea maneno haya? Mnavokemea suala la wanafunzi kutumika kisiasa mnabidi mkemee kotekote na siyo kuwa na double standards. Kwingine mnasifia, kwingine mnakemea.

Hatukatazi wanafunzi kuwa kwenye siasa, tunachohoji ni kwanini uwasombe kwenye Coaster ili waje kukusikiliza mimi sio CDM ila CDM huwa hawasombi mtu kuja kwenye mikutano yao.
 
Naona hii sasa imekuwa ndio fashion na utamaduni kwa wana-CCM wanaosaka uraisi.

Muda huu ninapoandika kuna magari aina ya coaster yamekodishwa ili kubeba wanafunzi wa chuo kikuu na kuwapeleka Chuo cha Mipango Dodoma kwenye tukio la Mwigulu kutangaza nia.

Nasikitika kuona hata wanafunzi wa vyuo vikuu nao hawajitambua!

Binafsi nimebaki naangali tu tukio hili nikiwa kwenye gate kubwa la kuingilia na kutoka hapa chuoni.

Hahaha mkuu nakufkiria hal yako hapo geitin..pole mkuu...mi nipo hapa ukumbin nauza vocha acha nipige hata pesa
 
Ni askofu wa kanisa la mito ya baraka pale jangwani, shangaa waumini wanatoa sadaka kwa hela za madafu yeye kutwa anadeposit dola kwenye akaunti yake pale crdb
Hawa ndo wachungaji wachumia matumbo hawafai kabisa
 
Chadema hakuna demokrasia kabisa,Kuna mgombea wa kudumu mzee Slaa
 
Waliohoji jana kuwa Lowassa alilipa sh.ngapi kuwa hewani jana kwenye tv na radio station waje hapa watuambie Mwigulu kalipa ngapi? Na kazipata wapi? CCM ni janga kubwa kuliko tunavyofikiri
 
jee kuna mzee yyte aliehudhuria hapo?

kama vile pius msweka, au malecela au salmini amour?

mwenziwe aliingia na jembe kingunge
 
Unapokua na washabiki kama asumpta mshama jua kiwango chako cha chini sana
 
Back
Top Bottom