Mbona anainanga mpaka serikali yake
Akitaka kunishawishi aniambie kinaga ubaga atadhibiti vp wala rushwa na ufisadi
Mwigulu anasema kuwa hakuna utaratibu wa kuongeza mkataba. Anasema kuwa watu wakifikisha umro wao wa kustahafu waende zao ili kutoa fursa kwa wengine kuajiriwa
Mwigulu bado mda wake.
Powa twendembele wakina mama wajawazitoSimaanishi Juliana.. Aliuliza wale watoto pale high table ni wa nani
Safi sana Mwigulu,watu wanastaafu mara wanapewa madaraka mapya tena ya kuteuliwa,safi sana hili likikomeshwa,MWIGULU unaongea point hadi unanitoa machozi
Tehetehetehe! Dada nifah bana! Haya. Ulidhani kwamba natumia ile ya chogo?Haya tumeiona flat yako Lizabon...teh teh
Hivi Chadema wao hamna watangaza nia wao wana mgombea urais wa maisha Dr.Slaa.
Wafuasi wa Chadema masikini ya Mungu wamekosa hii fursa ya kuwajadili wagombea urais.
Lakini bahati nzuri wanawajadili wagombea wa CCM.