Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Hivi Chadema wao hamna watangaza nia wao wana mgombea urais wa maisha Dr.Slaa.

Wafuasi wa Chadema masikini ya Mungu wamekosa hii fursa ya kuwajadili wagombea urais.

Lakini bahati nzuri wanawajadili wagombea wa CCM.
 
Akitaka kunishawishi aniambie kinaga ubaga atadhibiti vp wala rushwa na ufisadi

Hata akikwambia unaweza kumpigia kura ili apitishwe na ccm
Wew ngoja apite Ccm ndo itakuwa zamu yako kuambiwa
 
Huyu nchemba anaongea tu kwa sababu anajua kuongea
Alisema wezi wa escrow walipe kodi.....sijui walilipa?:-( maana hutukupata feedback
 
anamsemama baba rizi kuwa kila siku anajiuliza akatumie nchi gani
 
Lowasa anapenda tulime michikichi,sijui yeye alishalima?
Mpunga wa miezi mitatu unasababisha SACCOS inatuchukulia makochi,itakuwa hayo machikichi.
 
Aisee jamaa anainanga serikali kama inavyokuwa kwa wapinzani bungeni
 
Hivi miaka 5 Mwigulu kakaa bungeni na serikalini kuna lipi la kumkumbuka zaidi ya kuandamana na yule Musa Tesha
 
Safi sana Mwigulu,watu wanastaafu mara wanapewa madaraka mapya tena ya kuteuliwa,safi sana hili likikomeshwa,MWIGULU unaongea point hadi unanitoa machozi

..hapo anamnanga Mzee Mangula, Mzee Kinana, na wakubwa zake ndani ya chama na serikali. huyu kijana hakifiki mbali.
 
Huyu jamaa anaichana CCM NA SERIKALI YAKE.

Wonders.
 
Hivi Chadema wao hamna watangaza nia wao wana mgombea urais wa maisha Dr.Slaa.

Wafuasi wa Chadema masikini ya Mungu wamekosa hii fursa ya kuwajadili wagombea urais.

Lakini bahati nzuri wanawajadili wagombea wa CCM.

Kwani ccm kuna mgombea urais au mgombea ufisadi?
 
Back
Top Bottom