Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Huyu Mwingulu ni UKAWA.

SIJASIKIA MAHALA AMESEMA ''CCM OYE''

ANAITAJA TANZANIA.

JINA LAKE LIMESHAKATWA, TENA KWA PENI NYEKUNDU.
 
Mwigulu anasema tumwamini. Yesu kristo aliwaambia wafuasi wake wamwamini kwa kazi njema alizozifanya miongoni mwao, kama vile kuponya wagonjwa na kufufua wafu. Sasa Mwigulu Nchemba anataka tumwamini, kwa kazi gani njema alizozifanya kabla?
Je, tumwamini kutokana na ugaidi, au kwa kushusha thamani ya sarafu yetu dhidi ya dola, au kwa kuvaa kwake skafu?
 
Last edited by a moderator:
Dakika za mwishoni Mwigulu Nchemba anaungana na kambi ya Lowassa.

Teh teh teh

Teh Teh mkuu Ritz umenikumbusha maneno ya rafiki yake Josephine na Dr Slaa alisema hivi jana...

Asiye mtaka Lowasa akale limao-Ngwajima...

Hakika UKAWA wanaendelea kupata pigo hakika CCM kuna vichwa yani Dr Slaa na Mbowe wako hoi huko waliko ukichanganya na kusalitiwa jana na Ngwajima lazima Slaa yuko ICU
 
Last edited by a moderator:
Ila kusema kweli Mwigulu anafaa sana kuwa Rais.. Hayo anayoyasema sio tu anayasema kufurahisha genge ila najua kabisa anamaanisha.

I met him 2008 pale ofisini kwake BOT Arusha kabla hajaingia kwenye siasa.. Na haya anayoongea yalikuwa yanamuumiza tangia kipindi hicho. Kuwa kwake Naibu waziri kwenye hii rotten system hakuwezi kushusha credibility yake kwa maana yawezekana ana nia ya dhati kabisa ila wengine ndio wanamwangusha. Kwa CCM mtu pekee ambaye labda naweza kumpa kura yangu ni huyu jamaa..

naunga mkono Hoja
 
Dakika za mwishoni Mwigulu Nchemba anaungana na kambi ya Lowassa.

Teh teh teh

Teh Teh mkuu Ritz umenikumbusha maneno ya rafiki yake Josephine na Dr Slaa alisema hivi jana...

Asiye mtaka Lowasa akale limao-Ngwajima...

Hakika UKAWA wanaendelea kupata pigo hakika CCM kuna vichwa yani Dr Slaa na Mbowe wako hoi huko waliko ukichanganya na kusalitiwa jana na Ngwajima lazima Slaa yuko ICU
 
Last edited by a moderator:
Katika mikutano yote ya kutangaza nia sijaona wake za hawa watangaza nia wakitoa hata ka speech kadogo ka kuwaunga waume zao mikono katika safari zao.
Sijui shida ni nini.
 
Tunawachora tu mnavyoneng`eneka, endeleeni kuneng`eneka tu ila siku mkisikia Ukawa tunatangaza mgombea ndio mtajua kuwa time yenu imeisha. Mkiwa bungeni mnachokinena ni tofauti na hiki mnachokisema hapa, yote haya ukawa tuliyasema bungeni ila mkatutoa ufahamu, mkatukejeli na kutusimanga ila leo tu mnajifanya kulamba matapishi yenu...
 
Back
Top Bottom