Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kwani kati ya watu wenye NIA na yeye yumo...?
Eti anataka kujenga misingi iliyobomoka!
Nani amebomia hiyo misingi?
Halafu akale wapi.
Huyu hana historia ya Rushwa,na hakuna fisadi aliye nyuma yake,hivi Lowasa anaweza wafikisha mahakamani kina Chenge kwa mfano?usiwaamini sana wanasiasa.
Acha utoto wewe. Kwa hiyo mnataka Lowasa abebwe kwa mbeleko Nchemba?
Diva Beyonce na Dada nifah naona Leo mpo huku.
Ila kusema kweli Mwigulu anafaa sana kuwa Rais.. Hayo anayoyasema sio tu anayasema kufurahisha genge ila najua kabisa anamaanisha.
I met him 2008 pale ofisini kwake BOT Arusha kabla hajaingia kwenye siasa.. Na haya anayoongea yalikuwa yanamuumiza tangia kipindi hicho. Kuwa kwake Naibu waziri kwenye hii rotten system hakuwezi kushusha credibility yake kwa maana yawezekana ana nia ya dhati kabisa ila wengine ndio wanamwangusha. Kwa CCM mtu pekee ambaye labda naweza kumpa kura yangu ni huyu jamaa..
Kwani wabunge wetu wanakulaga wapi??
Kweli kabisa lowasa ndo mpango mzima.
UKAWA ndiyo chama gani?
tutamshawishi....