Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Aaa wapi! kwa hili unajikosha na kutetea bihashara zenu chafu! kwani hatujui jinsi mnavyo fanya reparkaging? Acha kabisa!!!


Kwanza kabla ya kusema lazima utambue ni dawa zipi zinaruhusiwa kuuzwa kwenye maduka ya madawa na zipi haziruhusiwi, ukijua hilo inatosha then njoo ujue je nikizikuta ambazo haziruhusiwe ni hatua gani ya kuchukua?
 
Yeye hajakaa mda mrefu serikalini msimfananishe na akina Lowassa isitoshe hata mda huo mfupi aliokaa madarakani hakuwa na maamuzi. Ila pale alipopata nafasi kidogo motto wake bungeni hata sisi wa upinzani tunamkubali. Kweli Lowassa amechemsha angesubiri wamalize wote apate cha kuongea.

Ivi unamuitaji kiongozi muongeaji au mtendaji kivitendo? Unadhani kwa aliyo ongea mwigulu akipata uraisi atatekeleza kama alivyo ongea?

Moto upi aliouwasha mwigulu ? Leo tu wao ndo watawala anapewa nafasi ya kujinadi anaanza kuilaumu serikali yake, akipewa cheo uyu si atatwambia angeanza kwanzia mwazo angeweza lkn kwakua wameanza wengine awezi!!!!!
 
Watangaza nia wananishangaza. Hizi hoja zao walitakiwa waziseme wakati wanahojiwa na kamati za uteuzi ndani ya vyama vyao. Kutia nia kwa namna hii kuna athiri afya ya chama. Siamini watangaza nia wa namna hii washajiakikishia kuwa hawatapendekezwa na vyama vyao! Kwamba wanadhorotesha afya ya chama ili wakose wote!Chama kwanza mtu baadaye.
 
Tusiwe wajinga wa kufikri yeye alikuwa anazungumzia wizi wa dawa mahospitalini na kwamba dawa hizo hupelekwa kuuzwa kwe maduka ya nje hivyo amewalenga wale wanaoiba dawa na si wengine.
mtoa mada ni mwizi wa dawa za serikali
 
I have to say the standard Lowassa set was rather low. It's like running 100M in 30seconds and say i have given Usain Bolt a high standard to beat.

..mimi nataka kuona mambo yafuatayo:

1. umati wa kumshinda Lowassa.

2. presentation nzuri na oratorical skills kuliko Lowassa.

3. better articulated vision for the country, inayoendana na rekodi ya mhusika.

4. halafu nidhamu na mpangilio mzuri wa mkutano.

..mtangaza nia akifanya yote hayo, then nitamkubali kwamba yuko serious, na anafaa kufikiriwa kwa nafasi hiyo.
 
..mimi nataka kuona mambo yafuatayo:

1. umati wa kumshinda Lowassa.

2. presentation nzuri na oratorical skills kuliko Lowassa.

3. better articulated vision for the country, inayoendana na rekodi ya mhusika.

4. halafu nidhamu na mpangilio mzuri wa mkutano.

..mtangaza nia akifanya yote hayo, then nitamkubali kwamba yuko serious, na anafaa kufikiriwa kwa nafasi hiyo.

1 & 4 is event related hazina maana kabisa
 
Hakuna jipya zaidi ya kucopy ya Dr na upinzani wanayosem kila siku.Zaida ameudhilisha uma kua CCM wanatuibia

upinzani wakichukua na yeye atakuwa mpinzani na atasema hayo hayo. change of role, change of behaviour.
 
Wewe ni Mojawapo ya madaktari wezi Ngariba mkubwa wewe
Naomba Moderator wa Jamii Forum, arestrict lugha ya matusi. Sina tatizo kuchangia hoja hata kama siipendi. Tatizo langu ni wachangiaji wachace kupenda kutumia lugha ya matusi zaidi kuliko kuchangia hoja. Hili linafanyika kuhalalisha au kuponda jambo mahsusi kama vile kutangaza nia kwa wana CCM nje ya sehemu walikozaliwa. Sentensi zenyewe moja au mbili tu, na zote ni matusi. Technologia ipo ambayo ukipost hoja yenye contents za matusi, system inaireject mojakwa moja. Kwa wapenda maendeleo na uhuru wa kutoa mawazo jamii forum mmeifanyia jamii ya kitanzania jambo jema sana. Lakini hebu wekeza zaidi kwa kuongeza software application yenye uwezo wa kuchuja matusi. Google wanayo hii software. Inatumika kwenye nchi nyingi kama vile Japan, US na kwingineko.
Naomba nieleweke hapa. Matusi si mchango mzuri kwenye jamii.
 
Ww ni mtanzania gani ambaye mtoto wako au mzazi wako anaumwa kisha unaenda hosp kwa matibabu unaambia dawa hakuna kanunue dawa hapo duka jirani na hosp then unakuta dawa ambazo zilistahili kuwepo hospitali?


Uikizikuta zilizopaswa kuwa kwa hospital unachuka hatua, ukiacha unakuwa umekosea
 
Ww ni mtanzania gani ambaye mtoto wako au mzazi wako anaumwa kisha unaenda hosp kwa matibabu unaambia dawa hakuna kanunue dawa hapo duka jirani na hosp then unakuta dawa ambazo zilistahili kuwepo hospitali?


Ukizikuta zilizopaswa kuwa kwa hospital unachuka hatua, ukiacha unakuwa umekosea
 
..mimi nataka kuona mambo yafuatayo:

1. umati wa kumshinda Lowassa.

2. presentation nzuri na oratorical skills kuliko Lowassa.

3. better articulated vision for the country, inayoendana na rekodi ya mhusika.

4. halafu nidhamu na mpangilio mzuri wa mkutano.

..mtangaza nia akifanya yote hayo, then nitamkubali kwamba yuko serious, na anafaa kufikiriwa kwa nafasi hiyo.

Umati wa Lowassa ni pesa na ukwasi usio na sababu ya msingi. Binafsi nimeona ule umati kama negative na kutokujiamini kwa Lowassa. Mgombea yoyote wa Uraisi wa CCM ana uwezao wa kujaza ule Umati kama shughuli itaratibiwa na Chama, hakukuwa na sababu ya msingi kujaza watu kwenye uwanja mkubwa vile wakati unachokitangaza is not local to them.Angekuwa anatangaza kuwa mbunge wa arusha ningeelewa umuhimu wa Umati.

Press conference ni appropriate kwa kutangaza nia n.k. ndio maana hata Raisi akihutubia nchi mwisho wa mwezi anatangaza kutokea Ikulu haendi uwanja wa taifa.
 
Watangaza nia wananishangaza. Hizi hoja zao walitakiwa waziseme wakati wanahojiwa na kamati za uteuzi ndani ya vyama vyao. Kutia nia kwa namna hii kuna athiri afya ya chama. Siamini watangaza nia wa namna hii washajiakikishia kuwa hawatapendekezwa na vyama vyao! Kwamba wanadhorotesha afya ya chama ili wakose wote!Chama kwanza mtu baadaye.

kutangaza nia kwa style hii kunaipa kamati za uteuzi nafasi nzuri ya kufanya maamuzi mazuri badala ya kununua mbuzi kwenye gunia maana watakuwa wameshapima mwelekeo wa upepo. Binafsi kwa kuangalia tukio la jana la Lowassa na leo la Mwigulu nimeondokwa na woga niliokuwa nao kuhusu nguvu ya Lowassa. Si lolote, si chochote. CCM wakiamua kufanya maamuzi magumu ya busara wanaweza kabisa kumuuza kapuku kama mwigulu na akanunuliwa na wapiga kura.
 
Vijana wakipata nafasi wakapata wazee wa kuwashauri vizuri naamini wataleta mabadiliko.Lowasa,Wassira,Membe,Pinda,Mwandosya,Slaa,Lipumba hawa wote wameshafika miaka 60.Ngoja tuwasikilize kina January,Ngeleja,Kigwangala na Nyalandu

Chifu, hayo mabadiliko husiyategemee ndani na chini ya CCM.

Unawazungumzia vijana wanaokuja na sheria za kugandamiza freedom of speech? Unawazungumzia vijana wanatumia mbinu za kikomunisti kugandamiza upinzani? Vijana wanaotumia ofisi na mali za umma kujinufaisha wenyewe na familia zao? Vijana wanaotegemea kudra za wengine (a** licker) kupata nafasi za ubunge?!

Hamna vijana hapo! Ni vijana kwa sura na umri, ila wazee kwa fikra na matendo yao.
 
TUTAWANYANG'ANYA LESENI, TUTAWAFUNGA JELA.

'Hakika usilolijua ni kama usiku wa giza" Nimeshangazwa sana na kauli ya Mh Mwigulu ambaye ni naibu waziri wizara ya fedha.
Ameonesha wazi hajui ni dawa gani zinazoruhusiwa kuuzwa kwenye maduka ya madawa ya binadamu katika nchi yake.

Siwezi kushangaa sana japo kanisikitisha kuona kiongozi mkubwa wa kitaifa hajui tofauti ya Dawa zinazokuwepo hospitalini na zile ambazo wamiliki wa maduka wanauza.

Kabla hajalizungumza hili kama mtia nia alitakiwa kujiuliza kwa wadau wa Afya wampe tofauti lakini pia hili jibu kuwa wao hawatibiwi hapa kwetu bali ni ughaibuni

Eti "Tutawanyang'anya leseni na kuwafunga" japo hao wamesomeshwa kwa kodi za wa Tanzania hawa si wengine ni madaktari, najiuliza huyu jamaa kala maharage ya wapi hadi anashindwa kuelewa dawa zinazomilikiwa na serikali zina nembo ya MSD na hizi haziuzwi katika la madawa kamwe.

Namshari afuatilie namna dawa hizi zinavyotolewa huko mahospitali na ajiulize kwanini madaktari wanawaonesha wagonjwa sehemu ya kununua kuliko kukurupuka.
Shame on u Mwigulu

Msema kweli haogopi kufungwa wala kufa

Dr Kilawa the Iron

Inaonyesha wewe una duka la dawa nje ya hospitali ya serikali tunakufuatilia utuambie dawa unanunua wapi?
 
Kuweka matumaini na subira kwenye CCM ni sawa na kuweka chungu kitupu jikoni ukitaraji Supu.
 
Ccm ni hatari hata akipewa nafasi ya kuongoza hawezi kufurukuta mbele ya mtandao wa watafuna nchi, ameingia kwenye rekodi but urais asahau sababu ili uwe rais wa nchi hii kupitia ccm lazima ubebwe na mafisadi kama alivyobebwa jk, na yanavyombeba el

tatizo nguvu ya umma bado ya soda, vinginevyo inawezekana.
 
Mwigulu ameongea hoja nzito tatizo viongozi wa ccm ni wanafiki wanalalamika utafikiria wapo ndo wapinzani .
 
Maskini Komba nyimbo zake zinavuma wakati ameshakufa hata jana Lowasa aliomba apigiwe wimbo wa komba lakini Dj hakupiga kabisa.

Mkuu Jana EL alikuwa na maana Yake. Maana alisema walikuwa wote kwenye safari ya matumaini, na kuna tetesi kuwa alikuwa keshatunga nyimbo za EL.
 
Back
Top Bottom