Aaa wapi! kwa hili unajikosha na kutetea bihashara zenu chafu! kwani hatujui jinsi mnavyo fanya reparkaging? Acha kabisa!!!
Yeye hajakaa mda mrefu serikalini msimfananishe na akina Lowassa isitoshe hata mda huo mfupi aliokaa madarakani hakuwa na maamuzi. Ila pale alipopata nafasi kidogo motto wake bungeni hata sisi wa upinzani tunamkubali. Kweli Lowassa amechemsha angesubiri wamalize wote apate cha kuongea.
mtoa mada ni mwizi wa dawa za serikaliTusiwe wajinga wa kufikri yeye alikuwa anazungumzia wizi wa dawa mahospitalini na kwamba dawa hizo hupelekwa kuuzwa kwe maduka ya nje hivyo amewalenga wale wanaoiba dawa na si wengine.
Bonge la usaniii kabisaa ,miaka yote yuko humo leo 2015 ndo anaona mfumo mbovu?? Jamani hivi wanatuona sisi ni wajinga eeh?
I have to say the standard Lowassa set was rather low. It's like running 100M in 30seconds and say i have given Usain Bolt a high standard to beat.
..mimi nataka kuona mambo yafuatayo:
1. umati wa kumshinda Lowassa.
2. presentation nzuri na oratorical skills kuliko Lowassa.
3. better articulated vision for the country, inayoendana na rekodi ya mhusika.
4. halafu nidhamu na mpangilio mzuri wa mkutano.
..mtangaza nia akifanya yote hayo, then nitamkubali kwamba yuko serious, na anafaa kufikiriwa kwa nafasi hiyo.
Hakuna jipya zaidi ya kucopy ya Dr na upinzani wanayosem kila siku.Zaida ameudhilisha uma kua CCM wanatuibia
Anajifanya msafi wakati katokea kwenye chimbuko yenyewe.
Naomba Moderator wa Jamii Forum, arestrict lugha ya matusi. Sina tatizo kuchangia hoja hata kama siipendi. Tatizo langu ni wachangiaji wachace kupenda kutumia lugha ya matusi zaidi kuliko kuchangia hoja. Hili linafanyika kuhalalisha au kuponda jambo mahsusi kama vile kutangaza nia kwa wana CCM nje ya sehemu walikozaliwa. Sentensi zenyewe moja au mbili tu, na zote ni matusi. Technologia ipo ambayo ukipost hoja yenye contents za matusi, system inaireject mojakwa moja. Kwa wapenda maendeleo na uhuru wa kutoa mawazo jamii forum mmeifanyia jamii ya kitanzania jambo jema sana. Lakini hebu wekeza zaidi kwa kuongeza software application yenye uwezo wa kuchuja matusi. Google wanayo hii software. Inatumika kwenye nchi nyingi kama vile Japan, US na kwingineko.Wewe ni Mojawapo ya madaktari wezi Ngariba mkubwa wewe
Ww ni mtanzania gani ambaye mtoto wako au mzazi wako anaumwa kisha unaenda hosp kwa matibabu unaambia dawa hakuna kanunue dawa hapo duka jirani na hosp then unakuta dawa ambazo zilistahili kuwepo hospitali?
Ww ni mtanzania gani ambaye mtoto wako au mzazi wako anaumwa kisha unaenda hosp kwa matibabu unaambia dawa hakuna kanunue dawa hapo duka jirani na hosp then unakuta dawa ambazo zilistahili kuwepo hospitali?
..mimi nataka kuona mambo yafuatayo:
1. umati wa kumshinda Lowassa.
2. presentation nzuri na oratorical skills kuliko Lowassa.
3. better articulated vision for the country, inayoendana na rekodi ya mhusika.
4. halafu nidhamu na mpangilio mzuri wa mkutano.
..mtangaza nia akifanya yote hayo, then nitamkubali kwamba yuko serious, na anafaa kufikiriwa kwa nafasi hiyo.
Watangaza nia wananishangaza. Hizi hoja zao walitakiwa waziseme wakati wanahojiwa na kamati za uteuzi ndani ya vyama vyao. Kutia nia kwa namna hii kuna athiri afya ya chama. Siamini watangaza nia wa namna hii washajiakikishia kuwa hawatapendekezwa na vyama vyao! Kwamba wanadhorotesha afya ya chama ili wakose wote!Chama kwanza mtu baadaye.
Vijana wakipata nafasi wakapata wazee wa kuwashauri vizuri naamini wataleta mabadiliko.Lowasa,Wassira,Membe,Pinda,Mwandosya,Slaa,Lipumba hawa wote wameshafika miaka 60.Ngoja tuwasikilize kina January,Ngeleja,Kigwangala na Nyalandu
TUTAWANYANG'ANYA LESENI, TUTAWAFUNGA JELA.
'Hakika usilolijua ni kama usiku wa giza" Nimeshangazwa sana na kauli ya Mh Mwigulu ambaye ni naibu waziri wizara ya fedha.
Ameonesha wazi hajui ni dawa gani zinazoruhusiwa kuuzwa kwenye maduka ya madawa ya binadamu katika nchi yake.
Siwezi kushangaa sana japo kanisikitisha kuona kiongozi mkubwa wa kitaifa hajui tofauti ya Dawa zinazokuwepo hospitalini na zile ambazo wamiliki wa maduka wanauza.
Kabla hajalizungumza hili kama mtia nia alitakiwa kujiuliza kwa wadau wa Afya wampe tofauti lakini pia hili jibu kuwa wao hawatibiwi hapa kwetu bali ni ughaibuni
Eti "Tutawanyang'anya leseni na kuwafunga" japo hao wamesomeshwa kwa kodi za wa Tanzania hawa si wengine ni madaktari, najiuliza huyu jamaa kala maharage ya wapi hadi anashindwa kuelewa dawa zinazomilikiwa na serikali zina nembo ya MSD na hizi haziuzwi katika la madawa kamwe.
Namshari afuatilie namna dawa hizi zinavyotolewa huko mahospitali na ajiulize kwanini madaktari wanawaonesha wagonjwa sehemu ya kununua kuliko kukurupuka.
Shame on u Mwigulu
Msema kweli haogopi kufungwa wala kufa
Dr Kilawa the Iron
Ccm ni hatari hata akipewa nafasi ya kuongoza hawezi kufurukuta mbele ya mtandao wa watafuna nchi, ameingia kwenye rekodi but urais asahau sababu ili uwe rais wa nchi hii kupitia ccm lazima ubebwe na mafisadi kama alivyobebwa jk, na yanavyombeba el
Maskini Komba nyimbo zake zinavuma wakati ameshakufa hata jana Lowasa aliomba apigiwe wimbo wa komba lakini Dj hakupiga kabisa.