nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
Chadema mngepata mtu mmoja tu mwenye akili kama Mwigulu,mngekuwa Ikulu sasa hivi
mwigulu katulia kuliko yule mzee wa jana wa kuomba msaada kwa kingunge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema mngepata mtu mmoja tu mwenye akili kama Mwigulu,mngekuwa Ikulu sasa hivi
Ameshakujibu, hahaha...Mwl hakuwahi hata kuwa naibu waziri alitokea kufundisha tu lakini mpaka leo anapigiwa mfano, Mwigulu ni kiboko, natamani sana amuunge mkono Lowassa apewe uwaziri mkuu.
Huku siasani kuna minyukano balaa.Watu wanachambana kuliko kule umbeani....nachekaje hapa?
Kwani kawakosea nini?
Mwigulu kampiku yule wa jana ambaye alikuwa anasoma desa aliloandikiwa na akina Apson
So far kawapiga bao wote waliotangaza nia,now I can proud stand and say MWIGULU FOR STATE HOUSE
kazi ya rais wa awamu ya tano ndio jambo la msingi, kuepeleka nchi kuwa na kipato cha kati, jamaa huyu kisha ipigia hesabu gass.
Sasa kama alikua anakunywa uji inaongea ili iweje hayo ni kawaida kwa Watanzania wengi aongee Sera na ataifanyia Nini Tanzania ka kiongozi. Sera za kuvusha nchi kutoka stage moja kwenda nyingine.
Kama vile ananiteka vileeeee!! Man of my heart.
I wish..... I wish.....
Ila haiwezi CCM.
Na inatisha kwa kuwa anajua kuwa haiwezi na anatudanganya kuwa atabadilisha hio system.
Agenda is okay. Na ndio kilio chetu na tunajua agenda ya CCM ina agenda yake.
Akisustain hii atakuwa rais wetu baadae
Hivi jana mbona star tv hawakurusha live wakati lowassa anatangaza nia?
So far kawapiga bao wote waliotangaza nia,now I can proud stand and say MWIGULU FOR STATE HOUSE