Hahaha yule wa jana kasoma mazingaombwe according to Yericko. Sasa angejibu nini teh teh
hahahahahahhaha mazingaombwe ya kuleta Mvua !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha yule wa jana kasoma mazingaombwe according to Yericko. Sasa angejibu nini teh teh
Kuongea vizuri tu haitoshi.... angejiuzuru basi kama alivyofanya Edwin Mtei enzi za Mwalimu...hawezi kutudanganya!!
Of course huwezi kujenga uchumi kwa siku 2. Lazima uwe na mipango ya muda mrefu.
Mfano Kagame na 2020 vision, aliwaahidi wananchi wake hivyo mwanzoni mwa 2000, na ime work sasa hivi Rwanda iko mbali kabla hata mwaka 2020 haujafika.
Kifupi hakuna shortcut kwenye kujenga uchumi bora.
mwigulu muongo anasema masters alisoma kwa kuponda kukoto na zege wakati alikuwa anamkopo wa B.O.T na alikuwa mtumish pale
VIP na kesho makongoro?
Saa ngapi?huyo nitamsoma kesho usikuVIP na kesho makongoro?
VIP na kesho makongoro?
The gay is smart.
Hizo skafu ana kiwanda chake?
Prof. Mark hana skando but naona afya yake ndo tatzo vile!
Hata Kikwete DHAIFU alikuwa na hoja yenye mashiko. "Nitaipitia tena mikataba ya madini ili kuhakikisha ina maslahi kwa nchi yetu" "Ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya" "Maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana" lakini alipoingia Ikulu akaweka kipaumbele kwenye ufisadi, kupokea pesa toka kwa marafiki zake AKA rushwa, kuwa VDG kiguu na njia na kuweka rekodi ya Rais aliyesafiri nchi nyingi za kigeni na pia aliyekuwa nje ya nchi yake kwa muda mrefu kuliko Rais yeyote yule duniani, kuwakingia kifua wezi, wapokea rushwa, wauza unga, majangili na kuwa na matanuzi makubwa ndani ya Ikulu. Kumbuka huyu kuna wakati aliitwa mpaka chaguo la Mungu kumbe si lolote si chochote naye ni fisadi tu. Watanzania tusirudie makosa ya 2005 ya kusikia hizi ahadi nzuri nzuri ambazo ni hewa na wakishaingia Ikulu ahadi zao wanaziweka pembeni kabisa. Ndani ya MACCM hakuna yeyote yule, narudia hakuna YEYOTE yule anayestahili kuliongoza Taifa letu.
thubutuDo you think lingeweza kujibiwa kama lilivyojibiwa leo?
Ni kweli hakuna short cut lazima kuwe na mipango ya muda mrefu lakini pia lazima kuwe na jitihada za kuinusuru hali hiyo wakati mipango ya muda mrefu inakuja, pia tukiangalia katika utawala wake kama naibu wazir ndo hali imekuwa mbaya zaidi.....