Ni vyema ukaenda hospitali mkuuHabarini Wana JF
Kama mada inavyosema kwa siku ya Jana nilikua nipo kwenye shoo na mtoto mzuri Sasa katika purukushani za yeye kukwepesha mzigo nikajikuta nimeigongeza pembeni Yani njee ya tundu ambapo baada ya mdaa damu zilianza kutoka ila nikiangalia kwa njee nipo vizuri na inasimama ila kunamda damu inatoka kwa ndani nanikikojoa inaisha ila nikikaa tena baada ya mdaa nakuta Kuna vidamu vinatoka naombeni msaada je ? Kutakua na usalama kwenye mishipa ya damu
Wewe hebu tuambie ukweli kwanini akwepeshe ulitaka kumfanya nini mtoto wa watu weweHabarini Wana JF
Kama mada inavyosema kwa siku ya Jana nilikua nipo kwenye shoo na mtoto mzuri Sasa katika purukushani za yeye kukwepesha mzigo nikajikuta nimeigongeza pembeni Yani njee ya tundu ambapo baada ya mdaa damu zilianza kutoka ila nikiangalia kwa njee nipo vizuri na inasimama ila kunamda damu inatoka kwa ndani nanikikojoa inaisha ila nikikaa tena baada ya mdaa nakuta Kuna vidamu vinatoka naombeni msaada je ? Kutakua na usalama kwenye mishipa ya damu
Habarini Wana JF

ShukranNi wazi kwamba umeumia baada ya kugonga pagumu.
Kwa hiyo ni muhimu kufika hospitalini kwa daktari kwa ajili ya uchunguzi zaidi na matibabu. Pia ni vyema ukaepuka ngono ili kuruhusu hilo jeraha kupona.
Madhara ya kuumia ni hiyo kutokwa damu na pia kuwa kwenye hatari kubwa ya kupata maambukizi ya magonjwa ya zinaa kwa sababu ya michubuko (ndiyo maana ni muhimu kuepuka ngono mpaka jeraha lipone). Pia baada ya jeraha kupona kuna hatari ya kupata tatizo la mkojo kutoka kwa shida baadae hasa kutokana na njia ya mkojo kuwa finyu kwa sababu ya kovu hilo (urethral stricture).
Kila la kheri.
Acha tuu December imeanza vibayaHivi leo ni tarehe ngapi?
Hayo ya damu mimi siyajui maana mimi sio dokta nnachotaka kujua ni je Baada ya hizo purukupushani ulikula mzigo? Au ulianza kuilaumu serikaliHabarini Wana JF
Kama mada inavyosema kwa siku ya Jana nilikua nipo kwenye shoo na mtoto mzuri Sasa katika purukushani za yeye kukwepesha mzigo nikajikuta nimeigongeza pembeni Yani njee ya tundu ambapo baada ya mdaa damu zilianza kutoka ila nikiangalia kwa njee nipo vizuri na inasimama ila kunamda damu inatoka kwa ndani nanikikojoa inaisha ila nikikaa tena baada ya mdaa nakuta Kuna vidamu vinatoka naombeni msaada je ? Kutakua na usalama kwenye mishipa ya damu
Habarini Wana JF
Kama mada inavyosema kwa siku ya Jana nilikua nipo kwenye shoo na mtoto mzuri Sasa katika purukushani za yeye kukwepesha mzigo nikajikuta nimeigongeza pembeni Yani njee ya tundu ambapo baada ya mdaa damu zilianza kutoka ila nikiangalia kwa njee nipo vizuri na inasimama ila kunamda damu inatoka kwa ndani nanikikojoa inaisha ila nikikaa tena baada ya mdaa nakuta Kuna vidamu vinatoka naombeni msaada je ? Kutakua na usalama kwenye mishipa ya damu
Purukushani kivipi? Yaan unaipambania mpaka kwenye kuichomeka mnacheza Judo?purukushani za yeye kukwepesha mzigo nikajikuta nimeigongeza pembeni