Hahaaa. Karibu sana jirani.Nipo sokoni mama ukifika bei nahamia singida maana ni majiran zangu
Hahaa. Au msimu ujao. Ila nitafika tu.Mpka ufike huo Mtaa jua kabisa itakuwa kesho hyo
Weka tu dau jirani nakuja fastaHahaaa. Karibu sana jirani.
Hahaa. Dau lilitakiwa kabla ya Mechi bana.Weka tu dau jirani nakuja fasta
[emoji31] [emoji31] [emoji31] kwa hyo sina jipya tenaHahaa. Dau lilitakiwa kabla ya Mechi bana.
Nawewe ni mwana simba dada EmmytaMie nipo hapa sibanduki mpaka hatua ya mwisho.
Sasa ukiweka dau si utanila jirani. [emoji2] [emoji2] [emoji2].[emoji31] [emoji31] [emoji31] kwa hyo sina jipya tena
Dau la kumnunua shabiki jiraniSasa ukiweka dau si utanila jirani. [emoji2] [emoji2] [emoji2].
Au dau sijalielewa maana yake sababu tusiwe tunaongea lugha mbili tofauti jirani.
Hapana Kaka. [emoji85]Nawewe ni mwana simba dada Emmyta
Ahaaa. Kumbe hivyo nimekuelewa sasa jirani.Dau la kumnunua shabiki jirani
Upo upande upi wa shilingi dada"""""""Kwanza huko poa???Hapana Kaka. [emoji85]
Aya sasa jiran kazi kwakoAhaaa. Kumbe hivyo nimekuelewa sasa jirani.
Ujue kaka zako tuko hapa jukwaani.Ngoja nilete Mkuu wote tule kwa raha zetu huku tunasubiria mechi. Hahaaa.
Nikajua upo uwanjani kama mimiNiko home.
Upande wa Pili Kaka. Niko poa namshukuru Mwenyezi Mungu. Sijui upande wako?Upo upande upi wa shilingi dada"""""""Kwanza huko poa???
Unaweweseka nn si umeshamalizana na mbao? Bado kipigo toka AzamGoli la kwanza alisimama tu golini. Huo muamala aliopewa si mdogo.
Pluijm atafute keeper toka nje ya nchi.
Nalijua hilo Kaka yangu.Ujue kaka zako tuko hapa jukwaani.
Sijajua umemaanisha nini my dada
Miye mzima dada yangu""""""Nasubiria tu team ya huku kwetu ipande darajaUpande wa Pili Kaka. Niko poa namshukuru Mwenyezi Mungu. Sijui upande wako?