mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Chuki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwe na kanuni ambazo zinawazuia wachezaji WAHENGA kufunga zaidi ya goal moja.unataka kusema Simba inyang'anywe pointi?
Waambie waache visingizio Wapambane na hali zaoPAMBANENI NA HALI YENU
Na ndala zikakutana na mwadui iliyokuwa ikichimba almasi..,hhhhhhhhKocha wa Simba, Djuma alitamba kuwa style yake ya uchezaji ndiyo iliyofanikisha kuifunga Singida United 4-0. Lakini hii sio kweli kabisa, alicheza na wachezaji ambao wana uchovu wa hali ya juu.
Kocha wa Singida ni mtu ambae anataka mafanikio ya leoleo na ya harakaharaka ili kuwananga Yanga waliomtema. Haraka yake hiyo ilisababisha Pluijm achezeshe kikosi chake cha kwanza chenye wachezaji walewale katika kila mechi kwenye mashindano ya Mapinduzi cup yaliyomalizika hivi karibuni. Wakati timu nyingine (Simba, Yanga, Azam) waliyatumia mashindano yale pamoja na kupata ushindi lakini pia kuwapa nafasi wachezaji wote kwenye timu wapate nafasi ya kucheza. Hii ilisababisha wachezaji mihimu wa Singida wapate uchovu mkubwa uliowagharimu kwenye mechi yao na Simba hadi kufungwa 4-0 kuliko wenzao wa Simba ambao wachezaji wake walikuwa wakicheza kwa mzunguuko kwenye Mapinduzi cup hivyo kuwafanya wasiwe na uchovu mwingi wa kuendelea na premier league kama ulivyoona jana.
Mimi nakuhakikishia Simba itakapokutana na timu nyingine yenye wachezaji ambao hawakuwa Mapinduzi cup utaona kitakachotokea.
Mbona Yanga kadroo na Mwadui fc na Azam na lipuli, huna hoja wewe peleka ndoo za kifusi jangwani boti linazamaKocha wa Simba, Djuma alitamba kuwa style yake ya uchezaji ndiyo iliyofanikisha kuifunga Singida United 4-0. Lakini hii sio kweli kabisa, alicheza na wachezaji ambao wana uchovu wa hali ya juu.
Kocha wa Singida ni mtu ambae anataka mafanikio ya leoleo na ya harakaharaka ili kuwananga Yanga waliomtema. Haraka yake hiyo ilisababisha Pluijm achezeshe kikosi chake cha kwanza chenye wachezaji walewale katika kila mechi kwenye mashindano ya Mapinduzi cup yaliyomalizika hivi karibuni. Wakati timu nyingine (Simba, Yanga, Azam) waliyatumia mashindano yale pamoja na kupata ushindi lakini pia kuwapa nafasi wachezaji wote kwenye timu wapate nafasi ya kucheza. Hii ilisababisha wachezaji mihimu wa Singida wapate uchovu mkubwa uliowagharimu kwenye mechi yao na Simba hadi kufungwa 4-0 kuliko wenzao wa Simba ambao wachezaji wake walikuwa wakicheza kwa mzunguuko kwenye Mapinduzi cup hivyo kuwafanya wasiwe na uchovu mwingi wa kuendelea na premier league kama ulivyoona jana.
Mimi nakuhakikishia Simba itakapokutana na timu nyingine yenye wachezaji ambao hawakuwa Mapinduzi cup utaona kitakachotokea.
Kocha wa Simba, Djuma alitamba kuwa style yake ya uchezaji ndiyo iliyofanikisha kuifunga Singida United 4-0. Lakini hii sio kweli kabisa, alicheza na wachezaji ambao wana uchovu wa hali ya juu.
Kocha wa Singida ni mtu ambae anataka mafanikio ya leoleo na ya harakaharaka ili kuwananga Yanga waliomtema. Haraka yake hiyo ilisababisha Pluijm achezeshe kikosi chake cha kwanza chenye wachezaji walewale katika kila mechi kwenye mashindano ya Mapinduzi cup yaliyomalizika hivi karibuni. Wakati timu nyingine (Simba, Yanga, Azam) waliyatumia mashindano yale pamoja na kupata ushindi lakini pia kuwapa nafasi wachezaji wote kwenye timu wapate nafasi ya kucheza. Hii ilisababisha wachezaji mihimu wa Singida wapate uchovu mkubwa uliowagharimu kwenye mechi yao na Simba hadi kufungwa 4-0 kuliko wenzao wa Simba ambao wachezaji wake walikuwa wakicheza kwa mzunguuko kwenye Mapinduzi cup hivyo kuwafanya wasiwe na uchovu mwingi wa kuendelea na premier league kama ulivyoona jana.
Mimi nakuhakikishia Simba itakapokutana na timu nyingine yenye wachezaji ambao hawakuwa Mapinduzi cup utaona kitakachotokea.
Mibao kapigwa Singida, kichefuchefu cha mimba anapata Yanga, hii sayansi ya wapi mkuuKwani Simba haikuwa mapinduzi cup?? Viroba sijui jangwani mmevificha wapi.
Mi siwaelewi hawa jamaa, Singida wapo kimyaaa na wamekubali mziki wa Mnyama, anayepata maumivu mi Yanga. Hii sayansi kweli inahitaji kufanyiwa uchunguzi.Mibao kapigwa Singida, kichefuchefu cha mimba anapata Yanga, hii sayansi ya wapi mkuu
Hahaaa. Imetoka moyoni dada. [emoji85]Asante Dada hiyo hongera imetoka moyoni kweli
Hahaaa. Wacha weeee.Nilikua mbali na simu halaf nilikua busy na mpira hivi nakimbiaje hao singida wa kunikimbiza mm
Anachungulia kama guestI guess huyu demigod anazungukazunguka humu Kwenye uzi na kusoma comment tu bila ya kureply ili tusimdake 😀 😀 😀