Asante Asante Kwasi!!Asante, kwasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Asante Kwasi!!Asante, kwasi.
Asante Kotei Asante Saidi NdemlaAsante Kwasiiiiii. Asante Okwiiiii. Asante Kichuyaaaaa
Huyu jamaa kuna mda alikuwa anauchezea mpira kwa madoido na maudhi Fulani hivi,daaah ushindi raha jamaAsante, kwasi.
Ndiye mchezaji pekee mwenye sifa ya kuwa Beki na Mfungaji magoli kwa pamoja.Huyu jamaa kuna mda alikuwa anauchezea mpira kwa madoido na maudhi Fulani hivi,daaah ushindi raha jama
Vp unashangaa nnUnaweza shangaa Simba akufungwa
Pole sanaAnafungwa simba
Yaani sina jinsi tena, hapa nijiendee tu zangu home.Jirani nmehamia mtaa wa nne sasa itabd usogee sogee kidogo
Ahsante sana Kaka. Sina jinsi tena.Sister pole Bhana😀😀😀 ndo tushashinda sasa..
Yaani Babu hizi ndio hazifai kabisaaaPole sana...
Nikupe zawadi ya mbao au nazo zinakukera?
![]()
Mie mzima dada. Nipo. [emoji2] [emoji2].Kumbe upo nilijua umeshaondoka mzima lakini
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Ila dada nimeanza kukushtukia.Dada 4 sifuri me mbona nipoo naanzaje kukimbia
Salama kabisa Mkuu. Hongereni bana.Mkuu Habari Yako?
Hahahaha,
Kwa kiingereza muite thank you Kwasi
Kwa wanyakyusa muite ndaga Kwasi
Kwa wajita muite Wakondya kwasi
Kwa wasukuma muite wabheja kwasi
Kwa wamasai muite khashi kwasi,
Kwa kinyiramba muite songela kwasi,
Kwa kichaga muite Eeka Kwasi,
Kwa kinyiha muite Wasalipa Kwasi
Duuuuuuh, raha sana!!!!!!!
Asante Dada hiyo hongera imetoka moyoni kweliMie mzima dada. Nipo. [emoji2] [emoji2].
Ila hongereni [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Nilikua mbali na simu halaf nilikua busy na mpira hivi nakimbiaje hao singida wa kunikimbiza mm[emoji2] [emoji2] [emoji2] Ila dada nimeanza kukushtukia.
Mbona umekuja mwisho mwisho wakati matokeo tayari.
Tumeuaaaaaaaa 4GMe mnyama dam pat