Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
We mkia kumbe upoThen keep ur asshole closed
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mkia kumbe upoThen keep ur asshole closed
Yaani leo mnyama analiwa live [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Simba Leo lazima ikalie dodoki kutoka Singida
Mwache labda kawekewa Bastola aandike.Wengine hawakujiandaa kisaikolojiaHe he umeongea kwa kujiladhimisha
demigod yuko wapi siki hizi??
Hahaha!! Safi sana aiseeMe pande ya mnyama
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na kweliMwache labda kawekewa Bastola aandike.Wengine hawakujiandaa kisaikolojia
Salama radika za wewe
Asante sana KwasiHahahaha,
Kwa kiingereza muite thank you Kwasi
Kwa wanyakyusa muite ndaga Kwasi
Kwa wajita muite Wakondya kwasi
Kwa wasukuma muite wabheja kwasi
Kwa wamasai muite khashi kwasi,
Kwa kinyiramba muite songela kwasi,
Kwa kichaga muite Eeka Kwasi,
Kwa kinyiha muite Wasalipa Kwasi
Duuuuuuh, raha sana!!!!!!!
Nilikuwa sijielewi kabisa mwanzoni mwa mechi. Nilipofika kibanda umiza dk ya 60 nikakuta "mwenzangu" Yanga wote wamekimbia. Nikaona wa "kukaa" wanisameheOkwi -Boban -Sunzu leo uko timu gani? Walima alizeti au wekundu wa Msimbazi?
Vv
Mkuu punguza roho ngumu. Nakuona unazurura humu,unamtafuta demigod ?Ni kama alivosikia
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji115]hili limenifanya nicheke sana. jana siku nzima wachezaji wa singida wanazunguka zunguka kwenye mabasi ya mwendo kasi na kupanda train ya mwakyembe.asubuhi niliowana kwenye train wametoka ubungo wanaenda posta wakageuza nalo. wakarudi ubungo kwenda kupanda mabasi ya mwendo kasi. wakazunguka kote kimara,morocco,kariakoo na posta. jioni wakaenda kupiga picha daraja la kigamboni. sijui walirudi saa ngapi na kupumzika. leo wamegongwa vinne wakawaambie dada zao kule jangwani.
wameniudhi sana kwa mambo yao ya kipuuzi. si wangesubiri wamalize mechi ndo wakapige selfie?