barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Nafikiri Manu angepigwa furaha yako ingekamilika zaidi.Mkuu furaha aliyonipa Liverpool weekend hii ilikuwa si ya kifani mkuu.
Sasa leo mnyama anaua baada ya jana Yanga kudroo, ni furaha zaidi.