Kutoka dimba la Taifa: Simba SC watakata! Wairarua Singida Utd goli 4 kwa nunge, wajikita kileleni kwa alama mbili zaidi

Kutoka dimba la Taifa: Simba SC watakata! Wairarua Singida Utd goli 4 kwa nunge, wajikita kileleni kwa alama mbili zaidi

emanuel_okwi_best_player_vodacom_premier_league_august_2017_h6871_3d43f.png

Hili jamaa lilienda kung'arisha nyota huko kwao, si bure.
 
Okwi -Boban -Sunzu leo uko timu gani? Walima alizeti au wekundu wa Msimbazi?

Vv
 
Hahahaha,
Kwa kiingereza muite thank you Kwasi
Kwa wanyakyusa muite ndaga Kwasi
Kwa wajita muite Wakondya kwasi
Kwa wasukuma muite wabheja kwasi
Kwa wamasai muite khashi kwasi,
Kwa kinyiramba muite songela kwasi,
Kwa kichaga muite Eeka Kwasi,
Kwa kinyiha muite Wasalipa Kwasi
Duuuuuuh, raha sana!!!!!!!
 
Back
Top Bottom