Kutoka dimba la Taifa: Simba SC watakata! Wairarua Singida Utd goli 4 kwa nunge, wajikita kileleni kwa alama mbili zaidi

Kutoka dimba la Taifa: Simba SC watakata! Wairarua Singida Utd goli 4 kwa nunge, wajikita kileleni kwa alama mbili zaidi

Pole sana...
Nikupe zawadi ya mbao au nazo zinakukera?

parquet.jpg
Yaani Babu hizi ndio hazifai kabisaaa
 
Hahahaha,
Kwa kiingereza muite thank you Kwasi
Kwa wanyakyusa muite ndaga Kwasi
Kwa wajita muite Wakondya kwasi
Kwa wasukuma muite wabheja kwasi
Kwa wamasai muite khashi kwasi,
Kwa kinyiramba muite songela kwasi,

Kwa kichaga muite Eeka Kwasi,
Kwa kinyiha muite Wasalipa Kwasi
Duuuuuuh, raha sana!!!!!!!

Kwa Kiarabu Tunasema
شكرا لك كواسي

Yani inasomeka "SHUKRAAN LAK KWASI"

😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom