Kutoka facebook!

Bilionea kid

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2018
Posts
581
Reaction score
519
Naombeni mnipokee mimi mgeni kutoka facebook na mtandao pendwa instagram.

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ
 
Panda Gari njoo home mm ndo kiongozi umu
 
Mkuu gari ya kwenda wap??

Jf mnamikwaraa lakini!!

[emoji124][emoji124][emoji604][emoji604]
Karibu jukwaan. Jf Sio Fb nakukumbusha tena Jf sio Fb.

Furahia kila jukwaa ila lawakubwa mpka tukakupime uzito wa fikra kwanza.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ asante tatizo la huku kila mtu msomi IQ nyingi.

QUOTE="Internal, post: 28848020, member: 418032"]Karibu jukwaan. Jf Sio Fb nakukumbusha tena Jf sio Fb.

Furahia kila jukwaa ila lawakubwa mpka tukakupime uzito wa fikra kwanza.[/QUOTE]
 
karibu sana beba na utoto wako njoo nao maana huku pia kuna watoto wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ