Kutoka February 16 2010-mpaka February 16-2021 hapa Jamii Forums

Aaahahahahahahhaaaa Baaaabuuuuuu....

Nimesoma ujumbe wako ghafla nimepata kiwi na kunywa Amarula.....😋

Sijui nikujeee saa hii tufanye chiazii....😉.

Uzuri wake sijawahi kukaa Kigamboni, hivyo niko salama kabisa kwa KKza, hakuna ukaguzi mwingine nimefanyiwa zaidi ya ukaguzi wako 😋😜.

Mishiii yuuuu.
Kwani baradhuli lilikudanganya linakaa Kiga? Doh basi ungeingia cha kiumeni....

Usinimish shana bhana usije ukazidiwa unanisaliti. Haya ma K Vant yaliniletea ujuaji hivi sasa natembelea magongo nyambaf zangu na robo nne...

Lakini itoshe kusema hili nalo litapita ...

Ni wewe tu umebakia, ni wewe tu kukuletea habari
 
Mkuu tupo pamoja itabidi baada ya hii makitu yanitwa corolla sijui corona tutaomba kwa Maxence Melo tuombe kuoganaizi party la nguvu kwani nisiku nyingi hii kitu aijafanyika tujumuike tujiulize mengi sana nakumbuka tulianzishaga hadi miradi tukaishia kurushiana pesa ila sina uhakika mradi wa kilimo kama ulitake off as we speak au na wao walirudishiana pesa ila kwa sasa tupo uchumi wa kati linazungumzika tunaweza tukaanza upya kwani kwa sasa watu wapo serious na maisha kipindi kile watu walikuwa wakikaa home wanapiga pesa ila kwa sasa lazima usumbue ubongo!

Hongera KakaKiiza , tunaendelea kujifunza mengi kutoka kwako.

Wazo la kukusanyika sio baya ila tungeweza hata kufanya Zoom ya wana JF.
 
Nipo Shem nishapiga nyungu za kutosha kadudu kapite hivi....my wangu Kaizer kanitelekeza siku izi.

Tatizo hukutaka kuomba msamaha alipokufumania na Mtambuzi

Shem angalia sana hilo nyungu, Maalim na Kijazi pia wamelipiga sana. Usisahau kufuata ushauri wa matabibu
 
KUTOKA FEBRUARY 16-2010-MPAKA FEBRUARY 16-2021

MIAKA KUMI NA MOJA(11) KATIKA MTANDAO BORA TANZANIA WA JAMII FORUMS.

Leo ni siku ambayo kwangu naiona kama siku ya kishujaa muno,Nasema hivyo kwakuwa nimeweza kutimiza miaka 11 katika huu mtandao nimekuwa mwanafamilia wa huu mtandao,JF kama wengi wetu tumezoea kuiita naipenda na nitaendelea kuipenda kawa sababu nyingi ila moja kuu ni kunikutanisha na watu wengi sana tofauti kimawazo na kiitikadi,pili ni sehemu niliweza kupata maarifa mengi,na mengine naendelea kuyatumia katika kuendesha Maisha yangu!.Pia najivunia kujulikana na watu wengi unaposema KakaKiiza ukweli kati ya watu mia moja (100) wa JF jina hilo halikosi hivyo basi nikitu cha kujivunia kuwa na marafiki wengi kuliko maadui. JF ni sehemu ukiitumia vema basi utafahamu mambo mengi sana na pia utanufaika sana na JF.

Kuna mambo mengi kama binafsi nimenufaika nayo hasa kikubwa ni kuwa na network kubwa katika maswala ya kibiashara na kijamii katika nchi hii nan je ya nchi,na kwa mikoani nikifika nakutana na makundi ya JF yenye ukarimu mkubwa. Hii leo nitatoa shukurani za pekee katika WING YA ARUSHA YOU’RE SO AMAIZING WING EVER! Nawapongeza sana kwani naikumbuka 2014. Mlinikaribisha nikawajoin maandalizi yalikuwa mazuri sana nikafahamiana na nyinyi kwa ukaribu tukawa kama ndugu na tunaendelea kuwa ndugu na tutaendelea kuwa ndugu!Niwaombee pumziko la amani waliotangulia mbele ya haki Mungu awarehemu wote.

Pia katika kitu ambacho siwezi kusahau ni JF siku nilipopatwa Msiba mzito wa Marehemu mke wangu 2012. Niliweza kufarijiwa na watu wengi wanaJF kimawazo nawashukuru kila uchao wana JF.Nitakuwa mnyimi wa fadhira endapo nitamaliza bila kusema Asante kwa Uongozi mzima Jamii Forum Asanteni leo sina mengi.Nimengi sana ya kuyaeleza juu ya Jamii Forums

Hongera sana mkuu kwa kutimiza Nyundo 11 ndani ya JF.
 
Kwani baradhuli lilikudanganya linakaa Kiga? Doh basi ungeingia cha kiumeni....

Usinimish shana bhana usije ukazidiwa unanisaliti. Haya ma K Vant yaliniletea ujuaji hivi sasa natembelea magongo nyambaf zangu na robo nne...

Lakini itoshe kusema hili nalo litapita ...

Ni wewe tu umebakia, ni wewe tu kukuletea habari

Baaabuuuuuu....
Kwanza pokea busu la kibakulutu mmmwwaaahhh...!!! ( hili litaongeza kinga dhidi ya mashambulizi yeyote yale 😅)

Mweeeh mie tuu dhamaniii dhiileeeee ndo kuna thiku nilikuwa narudi nyumbani jioni akaniona akaniambia njoo Kigs..... mi nikathema thatha thijamuaga baaabuuu thatha nikiulidhwa ntathemajeee....!!??

Ndo nikakimbia mbiiiooo kurudi nyumbani 😜.

Looh sasa babu nisipokimisi ntajawa na miwivu halafu itakuwa balaaa ...!😅😅

Poleee jamaniii, tahadhari tuu kiuno kisiwe kimetenguka maana hapo ndo eneo mahsusi kwa kazi mujarabu ya kusukuma vitoroli 😜.
Nakuombea ahueni mapema.

Mmmuuuuaaaah...!!!😉
 
Mkuu tupo pamoja itabidi baada ya hii makitu yanitwa corolla sijui corona tutaomba kwa Maxence Melo tuombe kuoganaizi party la nguvu kwani nisiku nyingi hii kitu aijafanyika tujumuike tujiulize mengi sana nakumbuka tulianzishaga hadi miradi tukaishia kurushiana pesa ila sina uhakika mradi wa kilimo kama ulitake off as we speak au na wao walirudishiana pesa ila kwa sasa tupo uchumi wa kati linazungumzika tunaweza tukaanza upya kwani kwa sasa watu wapo serious na maisha kipindi kile watu walikuwa wakikaa home wanapiga pesa ila kwa sasa lazima usumbue ubongo!

You're damn right bro.
 
Hongera sana mdogo wangu kwa umri JF. Ni kweli wengi tumenufaika na mengi hapa. Mathalan mie sijawahi kujuta kufahamiana na member yeyote hapa. Tumeishi kama ndugu kuanzia kwenye pen names mpaka majina ya kweli na maisha halisi..

Big up JF

Ila bazazi mbona hujazungumzia ulivyokuwa unaniibia michuchu yangu niliyokuwa naikagua? Ngoja nikufichie siri kwa sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Shikamoo babu
 
KUTOKA FEBRUARY 16-2010-MPAKA FEBRUARY 16-2021

MIAKA KUMI NA MOJA(11) KATIKA MTANDAO BORA TANZANIA WA JAMII FORUMS.

Leo ni siku ambayo kwangu naiona kama siku ya kishujaa muno,Nasema hivyo kwakuwa nimeweza kutimiza miaka 11 katika huu mtandao nimekuwa mwanafamilia wa huu mtandao,JF kama wengi wetu tumezoea kuiita naipenda na nitaendelea kuipenda kawa sababu nyingi ila moja kuu ni kunikutanisha na watu wengi sana tofauti kimawazo na kiitikadi,pili ni sehemu niliweza kupata maarifa mengi,na mengine naendelea kuyatumia katika kuendesha Maisha yangu!.Pia najivunia kujulikana na watu wengi unaposema KakaKiiza ukweli kati ya watu mia moja (100) wa JF jina hilo halikosi hivyo basi nikitu cha kujivunia kuwa na marafiki wengi kuliko maadui. JF ni sehemu ukiitumia vema basi utafahamu mambo mengi sana na pia utanufaika sana na JF.

Kuna mambo mengi kama binafsi nimenufaika nayo hasa kikubwa ni kuwa na network kubwa katika maswala ya kibiashara na kijamii katika nchi hii nan je ya nchi,na kwa mikoani nikifika nakutana na makundi ya JF yenye ukarimu mkubwa. Hii leo nitatoa shukurani za pekee katika WING YA ARUSHA YOU’RE SO AMAIZING WING EVER! Nawapongeza sana kwani naikumbuka 2014. Mlinikaribisha nikawajoin maandalizi yalikuwa mazuri sana nikafahamiana na nyinyi kwa ukaribu tukawa kama ndugu na tunaendelea kuwa ndugu na tutaendelea kuwa ndugu!Niwaombee pumziko la amani waliotangulia mbele ya haki Mungu awarehemu wote.

Pia katika kitu ambacho siwezi kusahau ni JF siku nilipopatwa Msiba mzito wa Marehemu mke wangu 2012. Niliweza kufarijiwa na watu wengi wanaJF kimawazo nawashukuru kila uchao wana JF.Nitakuwa mnyimi wa fadhira endapo nitamaliza bila kusema Asante kwa Uongozi mzima Jamii Forum Asanteni leo sina mengi.Nimengi sana ya kuyaeleza juu ya Jamii Forums
Hongera sana mzee baba.
 
Hizi shkamoo ndo huwa zinaniharibiaga hizi. Si heri uniambie hunitaki tu kuliko kuanza kuniwekea kauzibe hata kabla sijarusha maneno yangu ya mahaba?
Babu pumzika na hayo mambo tena. Kaaa

Au ndio ng'ombe hazeeki maini!!?
 
Nakumbuka hapa jf ndio nilipojifunzia kujikubali swala la kua mfupi wa kimo lilikua ni changamoto kubwa ila nilikuta na post ikanipa ukweli mchungu uliobadilisha maisha yangu kiukweli
 
Kwanza nikupe pole kwa kuondokewa na mkeo najua nikidonda chenye maumivu makali sana pole sana bro
Ni mda mlefu tangia ujiunge na jf kwakweli huo mwaka kwanza mm wakati siijui ata jamiiforums yenyewe mana ndio mwaka niliokua namaliza std 7 ila nilianza kuifuatilia tangia 2013 lakin nilikua nashindwa kujiunga.humu kuna mengi ya kujifunza in short
 
Back
Top Bottom