Kutoka February 16 2010-mpaka February 16-2021 hapa Jamii Forums

Kwani baradhuli lilikudanganya linakaa Kiga? Doh basi ungeingia cha kiumeni....

Usinimish shana bhana usije ukazidiwa unanisaliti. Haya ma K Vant yaliniletea ujuaji hivi sasa natembelea magongo nyambaf zangu na robo nne...

Lakini itoshe kusema hili nalo litapita ...

Ni wewe tu umebakia, ni wewe tu kukuletea habari
 

Hongera KakaKiiza , tunaendelea kujifunza mengi kutoka kwako.

Wazo la kukusanyika sio baya ila tungeweza hata kufanya Zoom ya wana JF.
 
Nipo Shem nishapiga nyungu za kutosha kadudu kapite hivi....my wangu Kaizer kanitelekeza siku izi.
Nipo Shem nishapiga nyungu za kutosha kadudu kapite hivi....my wangu Kaizer kanitelekeza siku izi.
Tatizo hukutaka kuomba msamaha alipokufumania na Mtambuzi

Shem angalia sana hilo nyungu, Maalim na Kijazi pia wamelipiga sana. Usisahau kufuata ushauri wa matabibu
 

Hongera sana mkuu kwa kutimiza Nyundo 11 ndani ya JF.
 

Baaabuuuuuu....
Kwanza pokea busu la kibakulutu mmmwwaaahhh...!!! ( hili litaongeza kinga dhidi ya mashambulizi yeyote yale 😅)

Mweeeh mie tuu dhamaniii dhiileeeee ndo kuna thiku nilikuwa narudi nyumbani jioni akaniona akaniambia njoo Kigs..... mi nikathema thatha thijamuaga baaabuuu thatha nikiulidhwa ntathemajeee....!!??

Ndo nikakimbia mbiiiooo kurudi nyumbani 😜.

Looh sasa babu nisipokimisi ntajawa na miwivu halafu itakuwa balaaa ...!😅😅

Poleee jamaniii, tahadhari tuu kiuno kisiwe kimetenguka maana hapo ndo eneo mahsusi kwa kazi mujarabu ya kusukuma vitoroli 😜.
Nakuombea ahueni mapema.

Mmmuuuuaaaah...!!!😉
 

You're damn right bro.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Shikamoo babu
 
Hongera sana mzee baba.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Shikamoo babu
Hizi shkamoo ndo huwa zinaniharibiaga hizi. Si heri uniambie hunitaki tu kuliko kuanza kuniwekea kauzibe hata kabla sijarusha maneno yangu ya mahaba?
 
Hizi shkamoo ndo huwa zinaniharibiaga hizi. Si heri uniambie hunitaki tu kuliko kuanza kuniwekea kauzibe hata kabla sijarusha maneno yangu ya mahaba?
Babu pumzika na hayo mambo tena. Kaaa

Au ndio ng'ombe hazeeki maini!!?
 
Nakumbuka hapa jf ndio nilipojifunzia kujikubali swala la kua mfupi wa kimo lilikua ni changamoto kubwa ila nilikuta na post ikanipa ukweli mchungu uliobadilisha maisha yangu kiukweli
 
Kwanza nikupe pole kwa kuondokewa na mkeo najua nikidonda chenye maumivu makali sana pole sana bro
Ni mda mlefu tangia ujiunge na jf kwakweli huo mwaka kwanza mm wakati siijui ata jamiiforums yenyewe mana ndio mwaka niliokua namaliza std 7 ila nilianza kuifuatilia tangia 2013 lakin nilikua nashindwa kujiunga.humu kuna mengi ya kujifunza in short
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…