KUTOKA HALOTEL! UNAJIPATIA LAINI MAALUM YA M2M, HII NI DATA ONLY AIPIGI SIMU WALA KUTUMA SMS. BAADA YA USAJILI UNAJIUNGA MWENYEWE.

KUTOKA HALOTEL! UNAJIPATIA LAINI MAALUM YA M2M, HII NI DATA ONLY AIPIGI SIMU WALA KUTUMA SMS. BAADA YA USAJILI UNAJIUNGA MWENYEWE.

Omary Mahayu

Member
Joined
Apr 8, 2024
Posts
31
Reaction score
27
IMG-20240305-WA0004.jpg
 
😂😂 Wacha niendelee kuimagine io ofis one day yes🤣🤣
Hapo SASA umeanza kuelewa.Kwani huamni kwamba unaweza kuwa na Ofisi ya ya watu 20.Unaamua tuna inawezekana kabisa
 
Hii huduma mimi ndio ninaitumia.So far kwa Upande wa SPidi iko vizuri kwa standard ya Bongo hasa kwa kasi ya 3G na 4G
 
Mkuu Imagine kama ni Ofisi ambayo ina wafanyakazi 20 ukiwanunulia bando la laki 9 kwa mwaka.ina maana Gharama yako kwa GB moja ya DATA ni Shilingi 500.Kila mwezi unakuwa na GB 130+.
Si bora wangefanya unlimited kuteka soko
 
Back
Top Bottom