DadiMkaliWao
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 242
- 380
Huyo bado upeo wake ni mdogo. Ndo hawa huwa wanashangaa wakisikia kuna hoteli za kulala Tsh. 300,000/- kwa siku kwa chumba.Mkuu Imagine kama ni Ofisi ambayo ina wafanyakazi 20 ukiwanunulia bando la laki 9 kwa mwaka.ina maana Gharama yako kwa GB moja ya DATA ni Shilingi 500.Kila mwezi unakuwa na GB 130+.