D DadiMkaliWao JF-Expert Member Joined Apr 22, 2019 Posts 242 Reaction score 380 Jan 20, 2025 #21 Masokotz said: Mkuu Imagine kama ni Ofisi ambayo ina wafanyakazi 20 ukiwanunulia bando la laki 9 kwa mwaka.ina maana Gharama yako kwa GB moja ya DATA ni Shilingi 500.Kila mwezi unakuwa na GB 130+. Click to expand... Huyo bado upeo wake ni mdogo. Ndo hawa huwa wanashangaa wakisikia kuna hoteli za kulala Tsh. 300,000/- kwa siku kwa chumba.
Masokotz said: Mkuu Imagine kama ni Ofisi ambayo ina wafanyakazi 20 ukiwanunulia bando la laki 9 kwa mwaka.ina maana Gharama yako kwa GB moja ya DATA ni Shilingi 500.Kila mwezi unakuwa na GB 130+. Click to expand... Huyo bado upeo wake ni mdogo. Ndo hawa huwa wanashangaa wakisikia kuna hoteli za kulala Tsh. 300,000/- kwa siku kwa chumba.