KUTOKA HESLB: Wote tuliokosa mkopo tutafanyiwa screening tena.

Rudolph Hess

Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
29
Reaction score
9
Nimeipata hii kutoka ndani kwa mtu wa karibu amesema wote tunatakiwa kuacha majina yetu na screening itafanywa upya ili kuona kama kuna mtu ameonewa. Mtu atakaye pata mkopo ni yule ambaye ataonekana kama ni yatima awe alituma vyeti vya uthibitisho wa wazazi wake kufariki na awe hajawahi kupata mkopo na ku-disco katika chuo chochote, na vigezo vya course za priority vitafuata. Ni hayo tu bandugu wenzangu. NB: "He who goes to the King must go with Clean hands". Hii theory ipo kwenye sharia za common za uingereza yaani ukiona mahakama zote zimekuonea basi unaenda kwa Mfalme ku-appeal na ukienda hapo hakikisha kesi yako ni "water tight"
 
kweli mkuu, na majibu lini na huyo aliyekupa hizi taarifa ni mfanyakazi wa hapo au ni tetesi
 
Nimeipata hii kutoka ndani kwa mtu wa karibu amesema wote tunatakiwa kuacha majina yetu na screening itafanywa upya ili kuona kama kuna mtu ameonewa. Mtu atakaye pata mkopo ni yule ambaye ataonekana kama ni yatima awe alituma vyeti vya uthibitisho wa wazazi wake kufariki na awe hajawahi kupata mkopo na ku-disco katika chuo chochote, na vigezo vya course za priority vitafuata. Ni hayo tu bandugu wenzangu. NB: "He who goes to the King must go with Clean hands". Hii theory ipo kwenye sharia za common za uingereza yaani ukiona mahakama zote zimekuonea basi unaenda kwa Mfalme ku-appeal na ukienda hapo hakikisha kesi yako ni "water tight"
Umesema tunatakiwa kuacha majina yetu, tuyaache wapi?
 
dah wakuu hivi wameweka kweli au? dah manake huu utakua ni mkosi sasa hadi saiv nimekosa tena..
 
ata mm naona kama kamchezo flani kwanini wasitoe majina yote yakaonekana kama kipindi cha nyuma,ii kusema uingize namba yako ili ujue kama umepata au umekosa ni kama kuchezeshwa kamali.
 
mwenyewe nmekosa huu sio mkosi ni mpango wao wa kujisafisha, wanataka vigezo gani mbona hatuwaelewi?

kama kuna mtu wa bodi hapa jamvini atusaidie maana mnatuumiza na mishe zenu!
 
ata mm naona kama kamchezo flani kwanini wasitoe majina yote yakaonekana kama kipindi cha nyuma,ii kusema uingize namba yako ili ujue kama umepata au umekosa ni kama kuchezeshwa kamali.
walitakiwa waweke mfumo ukiingiza hizo index zako kama umekosa zinatokea na reasons why umekosa ili mtu ujue unaanzia wapi sasa yanakuja maneno tu kuwa umekosa sasa why nikose wakati me najua nilistahili kupata
 
mi mwenyewe nimekosa, ili kuondoa lawama inatakiwa ukiweka no. yako kama hukupata ikwambie kwanini hukupata itatusaidia sana
 
Hivi kwa Tanzania mtu akidisco chuo fulani ndio mwisho wake wa elimu.Hii serikali ina mtazamo finyu sana.
 
Tuweni wavumilivu sote tuliokosa, me kunam2 aliniambia wale mwaka wa pili na kuendelea majina yetu yatatumwa
vyuoni moja kwa moja.
 
Nimeipata hii kutoka ndani kwa mtu wa karibu amesema wote tunatakiwa kuacha majina yetu na screening itafanywa upya ili kuona kama kuna mtu ameonewa. Mtu atakaye pata mkopo ni yule ambaye ataonekana kama ni yatima awe alituma vyeti vya uthibitisho wa wazazi wake kufariki na awe hajawahi kupata mkopo na ku-disco katika chuo chochote, na vigezo vya course za priority vitafuata. Ni hayo tu bandugu wenzangu. NB: "He who goes to the King must go with Clean hands". Hii theory ipo kwenye sharia za common za uingereza yaani ukiona mahakama zote zimekuonea basi unaenda kwa Mfalme ku-appeal na ukienda hapo hakikisha kesi yako ni "water tight"

Una maana hiyo screening itaanyika tena au ndio haya majina walioongeza muda mchache uliopita?
 
Akili zao finyu.wale walioko mikoani wanamwachia nani majina? Hv waliwahi kulazwa milembe? Sasa kama hawakuwa na majina walikuwa wanachambua nini?
 
Back
Top Bottom