Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Samira bana kaharibu hali ya hewa sana...yaani kweli usiamini maisha ya nje ya mtu alivyokua anajidai ni mpambanaji kumbe mavi mavu tu mfyuu!kujidai wema kumbe washamaliza masangoma yote ya town shezy kabsa na hilo li ex mume.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…