Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Nakumbuka Dada Wa Taifa ashawahi kugusia chanzo cha Yule Binti Kufariki,Aliweka Chini ya Carpet,alisema binti alijiua na sio malaria kama ilivyotangazwa,chanzo cha kujiua kuna mambo alikuwa anafanyiwa ambayo DADA WA TAIFA HAJAWEKA WAZI au kama aliweka Nishasahau maana kitambo.
mkuu mwaga upupu tujikune masikio[emoji23]
 
Back
Top Bottom