Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Nimeiangalia video zaidi ya mara 20.
-Ukimuangalia Bidada unamuona kabisa hayupo happy kwa kitendo anachofanyiwa na mganga even thou akiaminishwa watapa utajiri kwa kupata jiwe la tanzanite kwenye chimbo la mumewe.
-Mdada inaonekana anamuheshimu sana mumewe mpaka kukubali kwenda kufanyiwa hayo madudu na mganga na ndio maana mganga alivyopeleka mikono kwenye "Maziwa" akamtazama mmewe kama kumuona alivyoshikwa na mganga hii inaonyesha anamuheshimu sana mmewe.
-Ila Matajiri wengi sana wana michezo hiyo sana,kwenye kila maghorofa tunayoyaona wanaoishi hao matajiri ukisearch ndani 6 kati ya 10 unaweza ukakuta "Mazezeta" ndani.
Inapatikana wapi hii video kk..account name!?
 
wale wenzangu na mimi mliopita katika uzi huu na kusoma coment moja moja kuhakikisha hupitwi na neno gonga like tujuwane hapa ,

Niwashukuru kwa wachangiaji kwa kuleta coment fupi fupi ambazo hazikeri wala kubowa
 
Kazi IPO apo yajayo yanafurahisha
465601.jpg
 
Back
Top Bottom