Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Huogopi kurogwa wewe? Naona unataka kuonja sumu kwa kulamba
Hakuna uchawi bhaana Duniani,huwa sihangaiki na vitu vya kufikirika. Bahati nzuri najua uzuri wa kuwa na hela,na ubaya wa kutokuwa nazo. Nimekulia familia duni,nikapata hela nyingi nikiwa kijana na zikakata zote kabisaa na zikarejea taratibu kwa muda wa miaka 16. Na zimerejea bila kupita kwa mganga. Yaani kwa jinsi nnavyojitambua,haiwezi kutokea ktk maisha yangu nikaenda kwa mganga akanifanye me fursa! Kwa hiyo siogopi mkuu,we fanya hiyo kazi..hata ukitaka nauli na vocha za kuanzia we niambie tu. Ila tu usinifanye fursa.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ila hata hivyo alijiweza kua na bwana anaeabudu shiriki..duh!
Alijua sana tu hata kwa kuulizia kilichomkimbiza Mke mwenza? Mama zezeta, Mdogo mtu kafa kimazingara, marafiki wanaishia nje ya geti...vyote hivyo hunusi blood danger!????

Sema wanawake tamaa na kuringishiana ndivyo vilivyomponza! Ana bahati hajakatwa kikojoleo kikapelekwa kwa kamugambire
 
Wanawake nyie ni shida,sasa huyo nakayaa n kichwa chake kikubwa kumiliki toyota porte anaona ujanja,watu wanammega kisela tu istoshe kazaa na mme wa mtu so kma ndio kamchafua mwenzake sio poa
Wanawake nyie ni shida,sasa huyo nakayaa n kichwa chake kikubwa kumiliki toyota porte anaona ujanja,watu wanammega kisela tu istoshe kazaa na mme wa mtu so kma ndio kamchafua mwenzake sio poa
Hahaaa.
 
Wanawake nyie ni shida,sasa huyo nakayaa n kichwa chake kikubwa kumiliki toyota porte anaona ujanja,watu wanammega kisela tu istoshe kazaa na mme wa mtu so kma ndio kamchafua mwenzake sio poa
Lina wivu hilo libibi na nyota yake ya popo kuona usiku tu!

Ndo maana likipost insta halipatagi comment wala like....kaniuzii
 
Back
Top Bottom