Wanawake tupate somo hapa...ukiona mwenzako kakimbia ndoa wewe usikurupuke kujiingiza ukaona utafaidi, hujui kilichomtoa mwenzako!
Cc. ( jina kapuni)
Wanawake nyie ni shida,sasa huyo nakayaa n kichwa chake kikubwa kumiliki toyota porte anaona ujanja,watu wanammega kisela tu istoshe kazaa na mme wa mtu so kma ndio kamchafua mwenzake sio poa
Kuna kufuli ukoShunie nisaidie
Aaah wity..ninon'goneze Huyo jina kapuniWanawake tupate somo hapa...ukiona mwenzako kakimbia ndoa wewe usikurupuke kujiingiza ukaona utafaidi, hujui kilichomtoa mwenzako!
Cc. ( jina kapuni)
Ndani huko wanalala chini ukute loohhh
Utajiri mwingine hui
Mimi siko insta nimeona humu wanasema ndio kapost hiyo picha,huyo nakaya mwili kma lemutuz halafu unaendesha porte,heri angeendesha lori au canterNakaaya ana beef nae gani mana si kwa vijembe alivyomwekea alivyopost video
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani kamharibia mwenziwe loooWanawake nyie ni shida,sasa huyo nakayaa n kichwa chake kikubwa kumiliki toyota porte anaona ujanja,watu wanammega kisela tu istoshe kazaa na mme wa mtu so kma ndio kamchafua mwenzake sio poa
Umekuwa mbea siku hizi [emoji23][emoji23][emoji23]Aaah wity..ninon'goneze Huyo jina kapuni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfyuuuu kapuni hiyo vipi sipendi code mm
Mimi siko insta nimeona humu wanasema ndio kapost hiyo picha,huyo nakaya mwili kma lemutuz halafu unaendesha porte,heri angeendesha lori au canter
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ban ya kizembe siitaki...
Message sent, delivered, n read..anajijua!
Hawezi mfikia hata robo si kwa uzuri wala maisha mfyuuu....yy na linyota lake fresh jeusi ka lupita nyongoNakaaya ana beef nae gani mana si kwa vijembe alivyomwekea alivyopost video
Huyu Dada naona alichokua amekiangalia kwa jicho LA haraka ni uto tumali twa bwana apolo..hayo yote aliyokua anayaona kabla ya kuishi na Huyo mwanaume alijua may be ni ya muda tuAlijua sana tu hata kwa kuulizia kilichomkimbiza Mke mwenza? Mama zezeta, Mdogo mtu kafa kimazingara, marafiki wanaishia nje ya geti...vyote hivyo hunusi blood danger!????
Sema wanawake tamaa na kuringishiana ndivyo vilivyomponza! Ana bahati hajakatwa kikojoleo kikapelekwa kwa kamugambire
Hahaha..kama mmiliki Fulani wa bank Fulani...ana nyumba nzuri lakini hakai..na anapokaa analala. Chini..jamaniNdani huko wanalala chini ukute loohhh
Utajiri mwingine hui
Ndo utakapoabika hapoo!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm na mapombe yangu siku si nitasahau na kulala kitandani acha tu nibaki na umasikini wangu
Haahaaa....umbea afya atiiAaah wity..ninon'goneze Huyo jina kapuni
Mkuu karibu sana mererani kwa wazee wa ukuta,hku siku hizi walinzi wa ukuta kila kukicha wanafumaniwa na wake za watu,kulinda ukuta kumewashindaKatika story za wana Apolo mkuu nakuaminia
Nani huyooo[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]Hahaha..kama mmiliki Fulani wa bank Fulani...ana nyumba nzuri lakini hakai..na anapokaa analala. Chini..jamani
Jamani kaah![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wit loohHawezi mfikia hata robo si kwa uzuri wala maisha mfyuuu....yy na linyota lake fresh jeusi ka lupita nyongo
Siku hizi ana mishe gani huko A town...maana mziki umemkataaMimi siko insta nimeona humu wanasema ndio kapost hiyo picha,huyo nakaya mwili kma lemutuz halafu unaendesha porte,heri angeendesha lori au canter