Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Huyo dada nae baada ya video kuvuja amemwaga maharage yote!Mambo yalipokua safi mbona hakuyasema hayo?
Binadamu tuna uhaba mkubwa sana wa imani kwa muumba,mtu mwenye imani thabiti hawezi kukubali maisha hayo hata dakika moja
 
[emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani walikukosea sana masikini!!!nacheka sio kwa mazuri ila kwa hyo wanaume wenzako

Kwa hyo mzigua na shunie unawaona kama wasela yaaani[emoji3][emoji16][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Poleee.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…