hayo maneno mawili ungeandika kwa kiingereza au kiswahili na sisi wengine tuelewe.Ndio tunaenda kwasababu ya Ignorance.....Ila hakuna chochote unachoambulia huko kwa mganga zaidi ya Illusion, dillusion na allucination...
Ok sawa mkuuUwalaza ni mbwembwe tu za uandishi sina uwalaza mie
Wewe usinambie!...kichwa cha habari kinasemaje?
Nenda jukwaa la technology au jukwaa la elimu. Hapa tupo busy kumchambua huyu bilionea wa chuga
Tupo pamoja mkuuwale wenzangu na mimi mliopita katika uzi huu na kusoma coment moja moja kuhakikisha hupitwi na neno gonga like tujuwane hapa ,
Niwashukuru kwa wachangiaji kwa kuleta coment fupi fupi ambazo hazikeri wala kubowa
nielekeze uko insta niandikeje nijionee huo ubuyuuuuuu
Kwa utawala huuu wa magufuli, makafara yote yatajulikana. Maana vyuma vimepinda balaaaaDuh hatari saana, faida ya nini kumiliki Pesa ya kafala
Kwetu ni mambo ya kawaida sana. Ila unatakiwa kuwa muangalifu sana na hao walozi, wengine ni warongo na hawajui hata kuagua. Kama hao tunaowaona kwenye hiyo clip. Ila uwe muangalifu kuna waganga na walozi!Aisee upo deep ila ngoja kwa maelezo zaidi nimsubiri mwenye phd yake.
Siri ya utajiri anaijua tajiri mwenyewe,wengi wamedhulumu,wengi wametafuna mali za umma,wengi wamePush Weight(Hustlin' snow),Wengi wemuua tembo,wengi wameua watu(kafara),wengi wamecheza figisu na watu wa serikali kupata tenda kiujanjaujanja na kupiga fedha za umma(project haijaanza lakini analipwa fedha zote).Dunia hadaa walimwegu shujaa, binti mzuri kama nini kumbe kaficha siri nzito ndani ya moyo,
Wanadamu tunajitesa sana kwa kweli, na nilishaapa sitaki kusikia story za utajiri wa mtu eti alianza kuuza mkaa SITAKI
Yes akioa maana mke wake lazima atajua madudu yake na ndio hapo lazima atoe siri kwa mashosti.tunangoja mengine, ila kwenye madini haya yapo na ndo maana matajiri wenye pesa za ajabu hua hawoi hata kidogo siri inakua ndani yake tu
Embu mtaje jina lake na la Baba yake kama taifa tuikemee tabia hii.Yule tuliambiwa alipata allergy ya dawa za malaria
Huyu mwanamke anatumia jina gan Instagram?Aliyochukua hiyo record inaonekana ni Mme wake according to maelezo ya Mke("waambie kwamba ni wewe ndio ulionipeleka kwa huyo mganga ili mgodi utoe madini").
Inaonekana jamaa alikuwa anachukua kwa siri,si unajua ukishika simu hauwezi kujua kama unarecordiwa unaweza ukajua jamaa anachezea simu kumbe anakurecord,ndio maana kuna sehemu kama hawataki kurecordiwa wanazuia kabisa matumizi ya simu ukiwa sehemeu hiyo.......Mtu anaweza akajifanya anatuma sms kumbe anakurecord.
Unashangaa maombi yako hayajibiwi kumbe nuksi ni mwenyekiti wa kinamamaMwanamke na uzuri wote huo kwa mganga alafu ukiwakuta makanisani ni mwenyekiti wa kinamama na wakati wa maombi anaomba utasema roho wa bwana sasa ameshuka hata kama ulikuwa mgumu wa kutubu unaanza kutubu