Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Ndio tunaenda kwasababu ya Ignorance.....Ila hakuna chochote unachoambulia huko kwa mganga zaidi ya Illusion, dillusion na allucination...
hayo maneno mawili ungeandika kwa kiingereza au kiswahili na sisi wengine tuelewe.
 
wale wenzangu na mimi mliopita katika uzi huu na kusoma coment moja moja kuhakikisha hupitwi na neno gonga like tujuwane hapa ,

Niwashukuru kwa wachangiaji kwa kuleta coment fupi fupi ambazo hazikeri wala kubowa
Tupo pamoja mkuu
 
Sijui namfananisha huyu dogo au ndie mwenyewe,huyu alikua anachimba blocs D kwa jungle master?
 
Aisee upo deep ila ngoja kwa maelezo zaidi nimsubiri mwenye phd yake.
Kwetu ni mambo ya kawaida sana. Ila unatakiwa kuwa muangalifu sana na hao walozi, wengine ni warongo na hawajui hata kuagua. Kama hao tunaowaona kwenye hiyo clip. Ila uwe muangalifu kuna waganga na walozi!
 
Dunia hadaa walimwegu shujaa, binti mzuri kama nini kumbe kaficha siri nzito ndani ya moyo,

Wanadamu tunajitesa sana kwa kweli, na nilishaapa sitaki kusikia story za utajiri wa mtu eti alianza kuuza mkaa SITAKI
 
Siri ya utajiri anaijua tajiri mwenyewe,wengi wamedhulumu,wengi wametafuna mali za umma,wengi wamePush Weight(Hustlin' snow),Wengi wemuua tembo,wengi wameua watu(kafara),wengi wamecheza figisu na watu wa serikali kupata tenda kiujanjaujanja na kupiga fedha za umma(project haijaanza lakini analipwa fedha zote).
 
tunangoja mengine, ila kwenye madini haya yapo na ndo maana matajiri wenye pesa za ajabu hua hawoi hata kidogo siri inakua ndani yake tu
 
tunangoja mengine, ila kwenye madini haya yapo na ndo maana matajiri wenye pesa za ajabu hua hawoi hata kidogo siri inakua ndani yake tu
Yes akioa maana mke wake lazima atajua madudu yake na ndio hapo lazima atoe siri kwa mashosti.
 
Story za kufikirika sana hizi,hii inaweza kuwa bongo muvi tupu,anayefanyiwa uganga,anaonekana yupo mbaaaali kwa mawazo,
 
Aliyochukua hiyo record inaonekana ni Mme wake according to maelezo ya Mke("waambie kwamba ni wewe ndio ulionipeleka kwa huyo mganga ili mgodi utoe madini").

Inaonekana jamaa alikuwa anachukua kwa siri,si unajua ukishika simu hauwezi kujua kama unarecordiwa unaweza ukajua jamaa anachezea simu kumbe anakurecord,ndio maana kuna sehemu kama hawataki kurecordiwa wanazuia kabisa matumizi ya simu ukiwa sehemeu hiyo.......Mtu anaweza akajifanya anatuma sms kumbe anakurecord.
Huyu mwanamke anatumia jina gan Instagram?
 
Back
Top Bottom