Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Khaaa mm niljua yameisha kwahiyo umenifata mpaka huku wakat mm kamasi mburaaaaaah
 
Khaaa mm niljua yameisha kwahiyo umenifata mpaka huku wakat mm kamasi mburaaaaaah
Nmeona unaongea kwa woga wogaa tuu..sasa nimepita nikakukuta unanitaja.

Huo ni woga na uzwazwa ....ndomaana sikosei kuita Kamasi ,vitunguu maji.

Naulivyo na kamasi kichwan unaona yameisha, alafu unakuja kunijadili kwingine?? Kiazi weee... Alafu unajadili kwa kuogopa?? .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ulifurahi eenh shost
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umejishtukia tu rafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…