Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Dada una ajenda gani na miye...

Shosti ulifurahi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] km jf ya kwako peke yako

[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]ukizeeka utakua mwanga mbibi wewee!!!
Nje ya mada: Hizi ndiyo imani zinazotakiwa kupingwa kwa nguvu zote. Japo siamini mambo ya wanga lakini bado najiuliza: kwani mwanga lazima awe mzee tu? Du nyie ndiyo mnaoua wazee kwa imani za kijinga.
 
Hyo ni misemo kama mingine!!!
 
Hivi kweli kwa akili zangu mbovu unawezaje kumwamini mtu kama huyo.anaonekana yuko na maisha duni sana.kwanini huo uganga asifanye yeye na ndugu zake wakatajirika.Nani aliyewadanganya kuna mtu haupendi utajiri aisee???PESA NI TAMU.
WAJINGA NDIO WALIWAO.
 
Back
Top Bottom