IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,578
- 7,774
Yeah ,nimewahi sikia hivyo mkuuUlimuondoa Pepe bonge nyanya hakuamka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah ,nimewahi sikia hivyo mkuuUlimuondoa Pepe bonge nyanya hakuamka
Nikisema siendi au naenda kuna mtu ataamini?Wewe unaendaga hata asipoamini
Mimi nina mawazo tofauti: naona inafurahishaDaah naona wameamua kuaibishana mtandaoni!..inaskitisha sana
Weh! Kumbe mmiliki wa Bank of America kusini ndio ana hayo mauza mauza au benki inaitwaje sasa. Ni hatari!America kusini
Nje ya mada: Hizi ndiyo imani zinazotakiwa kupingwa kwa nguvu zote. Japo siamini mambo ya wanga lakini bado najiuliza: kwani mwanga lazima awe mzee tu? Du nyie ndiyo mnaoua wazee kwa imani za kijinga.Dada una ajenda gani na miye...
Shosti ulifurahi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] km jf ya kwako peke yako
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]ukizeeka utakua mwanga mbibi wewee!!!
Hyo ni misemo kama mingine!!!Nje ya mada: Hizi ndiyo imani zinazotakiwa kupingwa kwa nguvu zote. Japo siamini mambo ya wanga lakini bado najiuliza: kwani mwanga lazima awe mzee tu? Du nyie ndiyo mnaoua wazee kwa imani za kijinga.
Kwani mwanamke ''mbaya'' ni halali kujidhalilisha kwa waganga?Du mwanamke mzuri hivi kwanini anajidhalillisha kwa waganga? Ama kweli pesa mwanaharamu!
Ni kweli na najua sana ni msemo... lakini msemo unaoonyesha jinsi jamii yetu ilivyooza. Sisi tulioenda shule naomba tusiikariri!Hyo ni misemo kama mingine!!!
Kawaida sana...!!!hyooo!!!Ni kweli na najua sana ni msemo... lakini msemo unaoonyesha jinsi jamii yetu ilivyooza. Sisi tulioenda shule naomba tusiikariri!
Ndiyo. Atajidhalilisha ili apendwe/aolewe kwa kuwa wengi wao wanaume huwa-overlook.Kwani mwanamke ''mbaya'' ni halali kujidhalilisha kwa waganga?
Haa haa haa. Mimi naona kama sura huwa haziamui sana hatma ya mwanamke kuolewa. Naona mitaani kuna wengi wazuri hawana wenyewe lakini ''wabaya'' wanaolewa.Ndiyo. Atajidhalilisha ili apendwe/aolewe kwa kuwa wengi wao wanaume huwa-overlook.
[emoji1]Kwani mwanamke ''mbaya'' ni halali kujidhalilisha kwa waganga?
Huyo mwingine ni Mwanaume
Vipi best kulitokea tafrani humu nini? nisome kuanzia mwanzoAhsante best nsharudii!kuna pugi mmoja hivi
mhhh mr Putin vipi mbona umebadili Id?Cajojo weee nimekutaja ktk uzi wangu.
Mwanamke mwenye akili sana ...yale matunda ya Kajojo yameanza kukomaa .
Safi cajojo uhal ganmhhh mr Putin vipi mbona umebadili Id?
Hahahaha kumbe mapug hahahah mapugi ya Rachel dangwa