Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Umofia Kwenu wana JF,

Katika kupitapita instagram leo,nimekutana na habari inayomuongelea "Bilionea wa madini" Ibra Mwakichui behind his sucess kwamba alitoa kafara mdogo wake na kumfanya mama yake zezeta.

Taarifa hizo amezitoa mkewe baada ya kuchukizwa kwa kuvuja kwa video ikimuonyesha yupo kwa mganga wa kienyeji akifanyiwa matambiko/tiba.

Nisikuchoshe wala tusichoshane unaweza kuona screenshots za insta.
View attachment 810953

View attachment 810954
Mke anayedaiwa kutoa hayo maelezo ya juu na video yake yake kwa mganga.
View attachment 810961
Mwanamme inayedaiwa aliyevujisha video.
View attachment 810962
View attachment 810963

Clip Samiratha akiwa kwa Mganga,Hii Clip ndio iliyosababisha afichue siri ya utajiri wa aliyekuwa Mumewe.
Wanawake wakighafirika his wanasema lolote tu ili mradi wamuumize aliewaumiza na wao. Inawezekana jamaa anaenda kwa mganga kweli ( asilimia kubwa ya wafanyabiashara Tanzania wana waganga) lakini hakuna anaeweza kuthibitisha kua alimtoa mdogo wake kafara, na haileti maana kuamini kwamba Mungu ( muumba mbingu na ardhi ) ataacha kiumbe wake adhalilishwe ( awe ndondocha ) ili mwingine anufaike.
Kuna maelezo mazuri kwanini yaliotokea yametokea.
 
Mkono ulipowekwa kwenye kule...amemtazama Mganga daah.Mshana Jr kuna watu humu huwa wanajifanya kuwa haya mambo hayapo...Mfano ndio kama huo.Ndani wa Uzuri wetu kuna mambo mengi sana yamejificha.Shukuru sana kama hujapitia wala kuwaza kupitia hatua hizo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] coco babe ni kivuruge yaani ushabadilisha mada kabisa mm ndio mana nakupenda
Ukiwa na kazi ya kutolala usiku pia
Unatia aibu kwa kuwa mdaku uliyejaaa uongo na nilifikiri unazo hata kidunchu.. kumbe unasukumwa na udaku wa mwenzako aliye ishiwa udaku hadi ana akaunti zingine anapuputia utabia wake..

Umeonyesha wewe unayajua haya.. maana kabla ulilia lia upekwe na kuandika wote wa mataifa tofauti waliofaidi.. mara pwaaaaa ukabadilika baada ya kufata masharti eeeeh ila kimoja kale ka klasi ulidanganya upo nako ukashindwa kukakeep.. kumbe ukageuka kuwa boyaaa.. mwemza huyo..
 
Wanawake wakighafirika his wanasema lolote tu ili mradi wamuumize aliewaumiza na wao. Inawezekana jamaa anaenda kwa mganga kweli ( asilimia kubwa ya wafanyabiashara Tanzania wana waganga) lakini hakuna anaeweza kuthibitisha kua alimtoa mdogo wake kafara, na haileti maana kuamini kwamba Mungu ( muumba mbingu na ardhi ) ataacha kiumbe wake adhalilishwe ( awe ndondocha ) ili mwingine anufaike.
Kuna maelezo mazuri kwanini yaliotokea yametokea.
Huyo mwanamke nae ndo wale wale hana lolote sio kweli kua eti alikua hataki!!!

Mnaafiki tu na anajua kila kitu kinachoendelea siri ya utajiri wao!
 
Back
Top Bottom