Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
nimeshangaa sana....hawa mods kuna namna si bure[emoji848]Duuu kuna ban zimetembea humu sijui kosa ni nini ...Dah poleni Masela zangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimeshangaa sana....hawa mods kuna namna si bure[emoji848]Duuu kuna ban zimetembea humu sijui kosa ni nini ...Dah poleni Masela zangu
yaniHizo ban za shunie, witnessj na raynavero mbona sizielewi elewi
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
ukija na post yake nitagNakuja na post yake
Naona mapichapicha tu hapa. Nini kimewatokea?nimeshangaa sana....hawa mods kuna namna si bure[emoji848]
Mr. C yuko anakodisha mziki kwenye events mbalimbali. Mambo sio mazuri sana kama awali.Asee kweli kitambo, brother Mr Charles, a.k.a Mr C bado yupo? Hope Masai Camp,Aqua disco pale bus stand bado zipo, chimbo za kwa mama ...sakina kule km kawa ( long time vingine sikumbuki)
Hawa itakuwa sababu ni ule uzi wa gire nilikuwa nawafuatilia sanaDa sijajua wamepigwa kwa kosa gani,walikuwa wanachangamsha sana uzi 😀😀😀😀,na imani wataachiwa tu soon.
Walijua humu ni Instagram shenzi zoo.Hizo ban za shunie, witnessj na raynavero mbona sizielewi elewi
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Wanawake tu walikuwa wanarushiana manenoHuo uzi una nini mkuu ?
Njoo PM mkuu [emoji4] [emoji4]Naona mapichapicha tu hapa. Nini kimewatokea?
Ubuyu wa PM. Aku! Tuambiane hapaNjoo PM mkuu [emoji4] [emoji4]
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Duh kweli hali tete ,last time Niko huko alikua ana drive Range ,alikua akinipitia hotel kwenda kujirushaMr. C yuko anakodisha mziki kwenye events mbalimbali. Mambo sio mazuri sana kama awali.
Tuko pamoja mkuu, never everSitofanya chochote kitakachomdhuru mwanadamu katika utafutaji wa ridhiki,
Mwenyezi Mungu anisaidie, sitoweza kumgusa mama yangu au ndugu yangu yoyote, bora nife masikini.
Hapo kwenye uwalaza si washakujua tayari au vipi mkuuNikiandika mkuu nitajulikana mimi ni nani humu jf ,kama Samira au Sh....na wanapita huku ,sitaki kuchambwa na matarumbeta mtu mzima na uwalaza wangu
Kuna sehemu nimeona umekoment vizuri .....Mmmmh kivepe
Tafadhali naomba tafsiri ya hayo maneno ya mwishoni kama hutojali.Ndio tunaenda kwasababu ya Ignorance.....Ila hakuna chochote unachoambulia huko kwa mganga zaidi ya Illusion, dillusion na allucination...