Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

hujawahi kukwama wewe................ila waganga wanafaidi sana.....yaani hapo amemchezea mrembo alafu na kuku amekula...yote hayo ni uzushi mtupu....

Nikikwama kimbilio haliwezi kuwa la Waganga mkuu
 
Haya mamb ni meng saana kuna mtu utajir wake kila baada ya mwezi anakufa na kuoza kabisa lkn hazikwi ikipita wiki anafufuka na kuwa mpya na pesaaa zinamiminika
Na wanadai baada ya maiti kuoza funza hata mmoja asitoke ndani ya kile chumba cha huyo mfu, hivyo kwa case hii lazima mke/ msiri wa muhusika ahusike kuhakikisha hilo linatimia. Hao funza ndio pesa zenyewe....Ikienda ndivyo sivyo ndo anakuwa kashindwa mtihani....

*******************************************
Tabu zote hizo za nini??? Unamiliki pesa lakini huna furaha wala amani nazo...
 
Hahaha.. Watu mnapenda ubuyu nitafute nikupeleke kisiri siri kwa ndugu yangu ndiyo mambo yake haya

Ana gorofa la gorofa 3 kwenda juu, gorofa ya 3 juu mwisho lina gate la kuingia juu, humu ndani kuna room kubwa ina mtu yupo huko mbaba mweupe ni bonge la mtu n mnene 24hrs anakula kiyoyozi taa haizimwi, 24hrs amekaa kwenye sofa, hiyo sofa Tanzania nzima huwezi kuipata

Siku moja jamaa akaniachia nyumba yeye na familia yake na watoto wakaenda hollyday, ndani ya nyumba ilipo fika usiku naenda kulala nikajisahau nikazima taa zote za ndani kumbe hairuhusiwi kuzima taa upande wa juu nikaskia sauti za watoto wachanga wakilia, hadi nilimpigia sim kuhusu hiyo ishu ananiambia nisizime taa upande wa juu...

Humu ndani kuingia utadhani upo peponi...
Duh aise vp hukwenda kuchungulia yaliyomo
 
Umofia Kwenu wana JF,

Katika kupitapita instagram leo,nimekutana na habari inayomuongelea "Bilionea wa madini" Ibra Mwakichui behind his sucess kwamba alitoa kafara mdogo wake na kumfanya mama yake zezeta.

Taarifa hizo amezitoa mkewe baada ya kuchukizwa kwa kuvuja kwa video ikimuonyesha yupo kwa mganga wa kienyeji akifanyiwa matambiko/tiba.

Nisikuchoshe wala tusichoshane unaweza kuona screenshots za insta.
View attachment 810953

View attachment 810954
Mke anayedaiwa kutoa hayo maelezo ya juu na video yake yake kwa mganga.
View attachment 810961
Mwanamme inayedaiwa aliyevujisha video.
View attachment 810962
View attachment 810963

Clip Samiratha akiwa kwa Mganga,Hii Clip ndio iliyosababisha afichue siri ya utajiri wa aliyekuwa Mumewe.
Kitu siwezi fanya kwenyr maisha yangu ni kwenda kwa mganga sababu ya kupata utajiri....never....never....never....Maya God help me!!
 
Back
Top Bottom