Yeye ndio mmiliki wa ikulu siku hizi?
Yeye ndio mmiliki wa ikulu siku hizi?
Lowasa ni fisadi hafai kwa uongozi wowote.
Tuambie Ameongopa au Amekosea Wapi? Kwani Siyo Kweli Kama Kila Mtu Mimi Na Wewe Ni MAITI WATARAJIWA? Kipi Kipya Hapo? Hivi Kwanini Nyie Watu Wa UKAWA Mnakuwa MAPOPOMA MLIOTUKUKA Hivi?
Atangulie kwanza kumpeleka jela yule aliyezisomba zile bilioni 73 za Escrow, zilizosombwa katika magunia ya lumbesa pale Stanbic kama kweli yeye Nape na mwenzake Magufuli wana ubavu wa kuwafunga mafisadi kama ambavyo wanavyotamba.
Kati ya watu wajinga na wasiojitambua wewe unaongoza,wewe ni sampuli ya watu wanaokuwa na watoto majambazi sugu lakini bado wanakana kuwa watoto wao ni raia wema,usiwe na mapenzi na chama kiasi cha kuukimbia ukweli wakati magufuli mwenyewe anajua fika kuwa hatashinda,ndo maana anabembeleza hata UKAWA wampe kura,magufuli anatarajia kupata ushindi wa hila kama ccm walivyozoea ila mwaka huu hakuna cha hila wala hela Lowassa ndo rais wetu,hamtaamini nyie.
Yaani magamba kweli wamechanganyikiwa, kauli zao zinathibitisha kuweweseka kwao.Yeye ndio mmiliki wa ikulu siku hizi?
WATAISOMA NAMBA:
Mgombea urais kupitia CCM Dr John Magufuli amewataka wanainch wa iringa leo wamchague kwa kura nyingi ifikapo tar 25/10 ili wale wapinzani wake waisome namba,magufuli amesema kuwa umati mkubwa uliokuja kumsikiliza unamuelewa na safari hii wataisoma namba kisawa sawa!!
Chonde chonde Nape nakusihi kaka,hata wewe una wazazi na una wakubwa wako,siasa za namna hii zinapitiliza na zinatia kinyaa,usimwite mwenzio maiti kisa tu unatetea ugali wako,hivi watoto wa EL ambao kiuhalisia mnalingana umri unafikiri wanajisikiaje unapomtukana baba yao hivyo?ukikutana nao barabarani mnatazamanaje?kuna maisha baada ya tarehe 25.
Ajuaye bwana mungu kwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salama.
Mgombea huyu amekata tamaa sana. Kuisoma namba ndo nini!
Magufuli anaeleweka hakika sera zake baada ya October hamtajuta kumchagua magufuli
Yaani Ukawa watapigwa kama Walivyopigwa Simba na Yanga hawakuamini matokeo na itakua hvyo kwa Ukawa