minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Maneno huumba, ngoja Mungu amhesabie siku. Mwingine mwenye kauli kama hizo wamemuaga leo lakini EL bado yupo anawapelekesha. Sijuwi Nape anakichwa gani asiweze kujifunza.
Nape kalewa Sifa za kijinga yeye mda wote huwa yupo busy kumfurahisha Membe boss wake ambaye ni Adui namba moja wa Lowasa, nape na membe kila siku huwa wanatamani Lowasa Afariki ili wapumune, lakini kwa kuwa huu ni mda wa Mabadiliko na mungu Kaaamua hata waje na Dua gani wataishia kuwa Dua la kuku halimpati mwewe.



















