Hawa CCM kwa kweli sio wazima hata kidogo..yaani kuna jamaa kapanda jukwaani kwenye mkutano unaoendelea Iringa hakuna anachoongea tangu ameanza. Anasiliba upinzani tu na kutisha wananchi badala ya kunadi sera zao kwa wananchi. Ajabu ni wananchi wanaoshangilia ndio hawajielewi hata robo.... hakyanani hii nchi inawajinga wengi
Hawapondi ila wanadhibitisha kuwa Lowassa na ccm hakuna tofauti wote wezi, hivyo ni juu yako kuchagua Mwizi mwenye unafuu kwako.hawa jamaa wajinga sana.yaani kajikita kumponda tuu lowasa anafkiri atatubadilisha.tushachukua maamuzi tayari asubri kunyongwa tuu
Anasema Lowassa ni Mwizi, kila kitengo alichopewa aliiba, kuanzia Kwenye chama, wizarani Hadi alipokuwa waziri mkuu Lowassa ni Mwizi asilia.
Anasema yeye ndio kiboko ya Lowasa na Lowassa anamfaham vizuri tu.!
hawa jamaa wajinga sana.yaani kajikita kumponda tuu lowasa anafkiri atatubadilisha.tushachukua maamuzi tayari asubri kunyongwa tuu
Kwa hiyo walivyoona anaiba wakampandisha vyeo hadi uwaziri mkuu??? Shenz kabisa
Usiogope kwa kuwa walio pamoja nasi ni wengi kuliko walo pamoja nao. Lowasa anatosha!!