Elections 2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

Elections 2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

hizi habari tumeshazizoea watanzania wengi wameshaamua kumchagua huyo huyo mwizi
 
CCM MEANS KUTUKANA HOVYO?
AIBU SANA!
LOWASSA IS THE CASE!
WAJIPANGE,UPYA MBONA NAUONA USHINDI MZURI TU KWA CCM ENDAPO WATAJIPANGA!
ii
 
Hatuchagui personal issure za Raisi Lowassa...
Tunachagua mabadiliko..

Atatujazia Vyoo Vyetu Vya IKULU Kwa Kinyesi Na Kutuharibia Bajeti Zetu Za Kununua Toilet Papers. Bora Kwake Monduli Yakimshika Anaweza Hata Kujifuta / Kutawaza Kwa Nyasi au Ngozi Za Ng'ombe.
 
Kuna jambo la ajabu sana limetokea muda huu hapa Arusha kwny viwanja vya sinon wafuasi wa monaban wanaojiita kikosi kazi wamemchukua RAIA mmoja ambaye ni kama kada wa chadema aliyeuonyeshea mkono ishara ya vidole viwili msafara wa mgombea wao
 
Nape ni mpumbavu tena juha la kwanza duniani. Wakati alikuw akiiba si mliomwona? Kwa nini hamkumuchukulia hatua za kisheria kama wezi wengine badala yake mkazidi kumbadilishia sekta hadi kumpa uwaziri mkuu?

Mkiambiwa ccm na serikali yake ni majizi mnakataa nini wakati mmekuwa mkipandisha vyeo na kuwafana wakku wa serikalini huku mkijua ni majizi?


NAPe ANALITHIBITISHIA TAIFA KWAMBA CCM HAINA UWEZO WALA MORAL AUTHORITY YA KUONGOZA NCHI KWA SABABU TAYARI IMESHASHINDWA KUSIMAMIA MASLAHI YA TAIFA.

AMEKIRI KWAMBA IMEKUWA IKITENGENEZA NA KUWAFUGA WEZI, NA BADALA YA KUWACHUKULIA HATUA WANABADILISHIWA VYEO NA KUPANDISHWA HADI UWAIZIRI MKUU.

HALFU MWISHO KUANZA KULALAMIKA KWA WANANCHI ETI ALIKUWA MWIZI AS IF NCHI HAINA SHERIA NA MAHAKAMA HAZIPO. WHAT A SHAME!!!!!!!!

NAPE NI MPUMBAVU NAMBARI ONE. NO WONDER LINAKWENDA KUANGUKA KWENYE UCHAGUZI.

BILA HAYA ETI LOWASAKIBOKO YAKE MIMI. WHO ARE YOU NGUCHIRO MKUBWA? UNGELIKUWA KIBOKO YAKE KWA NINI HUKUMPELEKA MAHAKAMANI ILI AHUKUMIWE NA HAKI YA WATANZANIA IPATIKANE?

PUMBAVU SANA HILI JAMAA.

aisee!
 
Mdogo wangu yupo iringa ananiambia ni aibu hakuna watu hata kidogo.na msigwa anamkutano kesho
 
Kana ni mwizi na waliendelea kumteua basi waliomteua aliwapa mgao na hao ndio wa kuchukuliwa hatua kali sana

Ajabu yake......

Lowassa held various positions in the government since the late 1980s:

Managing Director - Arusha International Conference Centre, 1989–1990
Minister for State, Prime Minister's Office and First Vice President (Judiciary & Parliamentary Affairs), 1990–1993
Minister of Lands, Human Settlement Development,1993–1995
Minister for State, Vice President's Office;— Environment & Poverty, 1997–2000
Minister of Water and Livestock Development, 2000–2005
Member of Parliament;— Monduli Constituency, 1990–Present
Prime Minister, 2005–2008
 
Hbr wana Jf? Katibu wa Mbwembwe wa Magamba habar zake hatuzipat au hali tete Jimbon Mtama? Tujuzane wadau
 
kuna kitu kimoja unajitia upofu....Kwa nini hawakumwadhibu(kwa kumshitaki mahakamani)muda wote mpaka alipoamua kuondoka mwenyewe..........Wananchi wanamchagua Lowasa si kwa kuwa ni kiongozi bora,bali kuiamsha na kuiadhibu CCM kwa kuwa kichaka cha kulea maovu kwa miaka yote hii.Kaa ukitambua hakuna kashfa yoyote mtakayozua sasa ionekane ni ''shocker''........

Kweli mkuu kinachonishangaza ukitoka ccm unazushiwa.ni.mwizi.fisadi.ila ukiamua kurudi.unapewa cheo.kama UDC MF dan makanga jamani Tanzania ni ya vyama vyote
 
Wananchi wa jimboni kwake hawamtaki.


swissme
 
nape toa sera zako, achana na lowassa sio size yako, hangaika na wagombea udiwani wenzako
 
Kuna baadhi ya watu ambao sidhani kama wanaamini Mungu yupo. Hawana hofu ya MUNGU, vinywa vyao vimejaa matusi, wanajiona miungu midogo. Ipo siku tu Mungu atawafundisha kushut up. Kama Mungu alifanya kosa kuwapa midomo, ipo siku tu atawafundisha kushut up hiyo midomo. Maombi yangu na dua mbele za Mungu, Mungu akamshushe, maana Mungu hushusha wenye kiburi, Mungu naamdhibithishie kwamba yupo, na pia yeye ndio yuko juu ya watu wote.
 
Utamsikia leo tune star tv alikuwa live leo Iringa, matusi aliyoyaporomosha kwa Lowasa na Msigwa ni balaa.
 
Mbona leo alikua Iringa tena kaongea mbovu sana juu ya Lowassa kasema Lowassa ni MAREHEMU hawezi kwenda Ikilu 😷😷 siasa zimefika mbali jamani duu.
 
Back
Top Bottom