Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimeshangaa sana kama kweli tuna watu wanataka kuwa viongozi, vinywa vimejaa matusi, kwa saa nzima badala kueleza sera, ni matusi tu? Sidhani kama hawa watu wanaamini Mungu yupo. Mungu aliyewapa afya, nguvu na uzima kutukana matusi tu kila iitwapo leo? Watu wengine wapo hoi hospital hata kuongea hawawezi wanatamani pumzi,afya na uhai kwa ajili ya kumtukuza na kumuabudu Mungu tu? Yaani Mungu ni mjinga kuwapa watu pumzi ili watukane tu wenzao? Mbona watu wanakiburi hivi? Mbona wanaijifanya wao ni Mungu? Haya sisi tunamwachia Mungu mwenyewe awaadabishe. Vita vyetu sisi sio juu ya damu na nyama, ila ni katika roho.
Mmmmmmh! Mbona Mimi Naona Upo Nae Humu Humu JF Muda Wote a.k.a 24/7? au ID Yake Huijui Mkuu? Itafute Tu Vizuri Na Utaijua ILA Nakuhakikishia Kuwa Yupo Humu Kila Wakati Na Isitoshe Ni Mchangiaji Na Muanzishaji Mzuri Tu Wa Threads Mbalimbali Humu.
Mbona leo alikua Iringa tena kaongea mbovu sana juu ya Lowassa kasema Lowassa ni MAREHEMU hawezi kwenda Ikilu 😷😷 siasa zimefika mbali jamani duu.
Natamani I'd take niijue nipambane nae USO kwa network....anavojidaigii kama haji kufaaa walaiiii mshambamshamba flani ivi
Natamani I'd take niijue nipambane nae USO kwa network....anavojidaigii kama haji kufaaa walaiiii mshambamshamba flani ivi
Sio vizuri kumuita mwanadamu mwenzio maiti
wakati ni mzima et kwasababu ya siasa ndio ipelekee maneno hayo.nijambo baya mimi imeniuma sana.