Elections 2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

Elections 2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

M kwa dharau zao ndio zitasababsha nipige kura ya hasira UKAWA naenda eneo la tukio sa 2 usku hyo itakuwa tar 24 ntakuwa najikumbusha matukio yaliyowah kutokea kwa sababu ya CCM then ntalia ucku kucha na sa 9 tayar ntakuwa kwenye mstar
 
vuvu zela amerudi?wasipomdhibiti akiendelea kuropoka,atazidi kushusha kura
 
Anasema Lowassa ni Mwizi, kila kitengo alichopewa aliiba, kuanzia Kwenye chama, wizarani Hadi alipokuwa waziri mkuu Lowassa ni Mwizi asilia.

Anasema yeye ndio kiboko ya Lowasa na Lowassa anamfaham vizuri tu.!

Kichekesho Edo kaanza uwaziri mwaka 1990 nape alikuwa na miaka mingapi atamjuaje ebu aache uzushi
 
Vuvuzela ana mkataba Na Mungu yeye hataumwa wala kuwa MAITI ajue Muhimbili inamsubiri hasta India hafiki Naipe Mdomo Umeumbwa
 
Haya sawa bwana Nape!! Tumekusikia.....vipi wewe umeiba sector ipi na sector ipi?!
 
Lbda ndio siasa inataka maneno hayo ili uonekane mwamba na mjuaji na mkomavu ktk siasa.ila nasema tusipo tubu tutaadhibiwa kwa maneno yetu.Naa.ngalia mtu huyu asiye wajibu anaumiaje maneno haya?Nape my brother najua utapita hapa plz umekosea nafsi yako inakuhukumu fanya toba.NAIPENDA TANZANIA KULIKO SIASA ZA TANZANIA.
 
Anasema Lowassa ni Mwizi, kila kitengo alichopewa aliiba, kuanzia Kwenye chama, wizarani Hadi alipokuwa waziri mkuu Lowassa ni Mwizi asilia.

Anasema yeye ndio kiboko ya Lowasa na Lowassa anamfaham vizuri tu.!

Tushamzoe nape, anakipaji kumzidi hadija kopa, akisutana na mwanamke, nape ataibuka kidedea
 
Jamani vuvuzela ni vuvuzela tu aka bomba la maji taka aka nape
 
Hata mwenyezi Mungu hapendi. Kwani binadamu wote tumeumbwa kwa mfano wake, unapomkufuru Mwanadamu mwenzio nisawa na kumkufuru Mungu.
 
Kama alikuwa mwizi mbona hawakumchukulia hatua? Ktk vyombo vinavyo husika
 
Kwakweli nimeisikia live ila sijaipenda na hii inaonyesha wazi binaadamu hatuko salama zaidi kwa Mwenyezi Mungu..
 
Back
Top Bottom