Elections 2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

Elections 2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

atakumbuka maneno yake hayo. hafu hajui ndo anampigia kampeni lowassa kiaina kwa kumtafutia vote of sympathy
 
Aiseee,jaman baada ya uchaguz kuna maisha wadau....kwani Lowassa anaumwa nini???maana tunaambiwa anaumwa anaumwa,anaumwa anaumwa.Edo anaumwa nini????
futa machozi kaka lowassa ndo raise na nape aanze kabisa kutafuta nchi ya kuishi au at a way replace babu seya sege dansi
 
Kwa mwenye akili atagundua magu ni muongo kuputiliza she is not technical campaigner.

Lowasa performs 90% campaigning technical.
 
1. Magufuli aahidi kujenga barabara ya uwanja wa ndege wa Iringa na kuimarisha mifuko ya uwezeshaji ya wanawake na vijana.

2. Magufuli apania kupunguza ushuru kwa wananchi wa kawaida ili kukuza uchumi wa mtu binafsi kasha uchumi wan chi nzima.



12074864_893690027379560_800294550710482712_n.jpg


12049567_893690054046224_3844268741931817061_n.jpg


12038355_893690087379554_1804902182348431199_n.jpg


12038191_893690144046215_984207752500909091_n.jpg


12046641_893690164046213_6329644513760825455_n.jpg


12032133_893690194046210_6485283949180234099_n.jpg


12047200_893690274046202_7358172045992411990_n.jpg


Wakazi wa Iringa Mjini wakimsikiliza Mheshimiwa Magufuli katika Mtuno wa kutafuta kura za Urais.

MAGUFULI HAKAMATIKI : KATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA INAONYESHA MAGUFULI ANAZIDI KUNG'ARA KILA KONA YA NCHI YETU NI BAADA YA WATU KUPIMA SERA ZAKE NA ZA WENGINE NA KUGUNDUA KUWA SERA ZAKE ZINATEKEREZEKA NA ZA WENGINE HAZITEKEREZEKI BALI WANAZITUMIA KUWALAGHAI WANANCHI ILI WAINGIE IKULU TU : TUMESHTUKA HAPA NI KAZI TU
 
wamshitaki na wamfunge ndio dawa, sasa kubwabwaja ni kujishushia hadhi yao, mshamkamata fungeni, mnaogopa nini

Huo ndio ulikuwa mtaji wa nape na makonda, hakuna kingine kilichowapa ulaji zaidi ya kumtukana baba wa watu-sasa utawala wa JK unaisha inabidi watafute njia nyingine ama sivyo kitambi chote kitapukutika
 
Hivi mwizi huwa anatakiwa kufikishwa wapi?

Kama hawajui hata kazi ya mahakama basi waondoke tu hawa CCM waje watu wajuao nini maana ya utawala wa sheria...

Anasema Lowassa ni Mwizi, kila kitengo alichopewa aliiba, kuanzia Kwenye chama, wizarani Hadi alipokuwa waziri mkuu Lowassa ni Mwizi asilia.

Anasema yeye ndio kiboko ya Lowasa na Lowassa anamfaham vizuri tu.!
 
Safi sana...hata wana Arusha tumemsubiri kwa hamu tumpe baraka zetu.

Viva Magufuli vivaaaa...
 
Ikulu hakuna wordi ya wagonjwa,wala maiti,ni maneno ya Nape kumtusi Lowasa,kwa kauli hiyo wagonjwa wote wa Tanzania kura zenu hazina nafasi ndani ya ccm,wagonjwa wa ukimwi,tbi,kisukari,preasure,kifafa,tezi dume,yaani kila mgonjwa huitajiki Ikulu!Mungu atakuhukumu Nape!
 
Malipo ni hapahapa tunakofanyia kiburi sababu ya pumzi hii tuliyopewa....Mungu na ampe adhabu kali ya kulala kitandani kama maiti ilhali bado yuko hai....Amina!
 
Kuna watu wana roho ngumu kama roho ya Paka. Bado tu hamuamini kwamba Watanzania wana kwenda kwenye mikutano ya CCM kumuaga Magufuli na chama chake.
 
Kuna watu wana roho ngumu kama roho ya Paka. Bado tu hamuamini kwamba Watanzania wana kwenda kwenye mikutano ya CCM kumuaga Magufuli na chama chake.
Kijana usipaniki

Hujui hata maana ya "kuaga"
 
hakuna jambo baya kama kumuombea binadamu mwenzako mabaya,
naona watu wanasahau kuwa wote njia yetu moja na Tanzania itabaki palepale
 
ASILIMIA 99,CM.....

Dr John Magufuli leo amewahidi na kuwataka wananchi wa iringa kuwa atatekeleza ahadi zake na hivyo kuwataka wamchague.Magufuli amesema safari hii ushindi utakuwawa sunami kwa asilimia 99!
Pokeeni salaam kutoka Tanga!!
 
Malipo ni hapahapa tunakofanyia kiburi sababu ya pumzi hii tuliyopewa....Mungu na ampe adhabu kali ya kulala kitandani kama maiti ilhali bado yuko hai....Amina!
Tumsamehe na kumuombea Mungu amhurumie ampe upeo.tusimuombee mabaya hatuta kua natofauti na yeye Mungu atakutana nae kwa namna yake.Tumpende tu.
 
makofuli akijitahidi sana anapata kura 30% ya kura zote na hapo ni baada ya bao la mkono
 
Back
Top Bottom