Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,019
Nape Nnauye atakufa kifo cha ajabu, maneno ya leo yamezidi kubomoa chama hayajengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimeshangaa sana kama kweli tuna watu wanataka kuwa viongozi, vinywa vimejaa matusi, kwa saa nzima badala kueleza sera, ni matusi tu? Sidhani kama hawa watu wanaamini Mungu yupo. Mungu aliyewapa afya, nguvu na uzima kutukana matusi tu kila iitwapo leo? Watu wengine wapo hoi hospital hata kuongea hawawezi wanatamani pumzi,afya na uhai kwa ajili ya kumtukuza na kumuabudu Mungu tu? Yaani Mungu ni mjinga kuwapa watu pumzi ili watukane tu wenzao? Mbona watu wanakiburi hivi? Mbona wanaijifanya wao ni Mungu? Haya sisi tunamwachia Mungu mwenyewe awaadabishe. Vita vyetu sisi sio juu ya damu na nyama, ila ni katika roho.
Sio vizuri kumuita mwanadamu mwenzio maiti
wakati ni mzima et kwasababu ya siasa ndio ipelekee maneno hayo.nijambo baya mimi imeniuma sana.
God will punish him, Nape ndo amaesababisha ccm imechukiwa na vijana wote coz ya pumba zake
Tuambie Ameongopa au Amekosea Wapi? Kwani Siyo Kweli Kama Kila Mtu Mimi Na Wewe Ni MAITI WATARAJIWA? Kipi Kipya Hapo? Hivi Kwanini Nyie Watu Wa UKAWA Mnakuwa MAPOPOMA MLIOTUKUKA Hivi?
Mm nakwambia hyo nape ni jamii ya akina martin kadinda simlaumu na jeuri hiii anapewa na hao wakwere wakatika mauno wasiokuwa na mbeleSio vizuri kumuita mwanadamu mwenzio maiti
wakati ni mzima et kwasababu ya siasa ndio ipelekee maneno hayo.nijambo baya mimi imeniuma sana.
WATAISOMA NAMBA:
Mgombea urais kupitia CCM Dr John Magufuli amewataka wanainch wa iringa leo wamchague kwa kura nyingi ifikapo tar 25/10 ili wale wapinzani wake waisome namba,magufuli amesema kuwa umati mkubwa uliokuja kumsikiliza unamuelewa na safari hii wataisoma namba kisawa sawa!!
ASILIMIA 99,CM.....
Dr John Magufuli leo amewahidi na kuwataka wananchi wa iringa kuwa atatekeleza ahadi zake na hivyo kuwataka wamchague.Magufuli amesema safari hii ushindi utakuwawa sunami kwa asilimia 99!

Anasema Lowassa ni Mwizi, kila kitengo alichopewa aliiba, kuanzia Kwenye chama, wizarani Hadi alipokuwa waziri mkuu Lowassa ni Mwizi asilia.
Anasema yeye ndio kiboko ya Lowasa na Lowassa anamfaham vizuri tu.!
Iweke hapa, maana huu ndio muda wa siasa chafu.!.
wadau nimefanikiwa kuiona picha ya pamoja ya mzee Mnauye na familia yake Nape hayupo. Hii imekaa je wanajamvi? kajamaa kame-adoptiwa?
.